Habarini ya kazi.
Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia...
CONDESTER SICHALWE AKUTANA NA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MOMBA KILICHOFANYIKA CHITETE
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 24 Julai...
Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875
Karibuni sana, bei ni maelewano.
Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
Nauliza wapi zinauzwa mashine hizi za kumwagilia dawa za kuua wadudu kwenye mimea kama vile mikorosho, zinatumia mafuta zinaitwa mist duster-power sprayer, hubebwa mgongoni na hutumia petrol ili...
Mh. Waziri Bashe na timu yako nzima mimi mkulima wa viazi nakushukuru sana Waziri Bashe. Kwa ufupi nimevuna magunia manne ya viazi nikapeleka sokoni narudishiwa mzigo wote wa viazi, vyote vina...
Ndugu wadau wa kilimo, habari za majukumu
Niende kwenye lengo, ninamparachichi ambao huzaa matunda mengi ila una tatizo la kuozesha matunda yake, uozo unaanzia ndani kwenye mbegu kuja nje ya...
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 22 Julai, 2023 ameendelea na ziara katika Kijiji cha Yala na kuzungumza na wakulima wa Kijiji hicho.
Akizungumza...
Habari wakuu,
Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa.
Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please.
Habari wakuu
Naomba kujuzwa mm nimkulima wazao la michungwa msimu huu machungwa yamekua na ukungu mweusi na majani yake ya michungwa yamekua meusii kama kwenye picha.
Msada wakuu
Wakuu, nimenunua shamba milimani huko, shida yake hili shamba ni maji, ukitaka kulima mazao lazima usubirie msimu wamvua.
Sasa nataka nilipande mazao ya muda mrefu ambayo yanahitaji kumwagilia...
KILIMO CHA NYOKA
Achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndio suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho.
Kwa mujibu wa hisabu za calculeter yng ya cm, hebu...
Elimu kidogo kuhusu Namna na njia sahihi ya uzalishaji vifaranga vya kambale kupunguza idadi ya vifo (mortality rate)
Kambale ni samaki mwenye thamani kubwa katika tasnia ya uvuvi na uzalishaji wa...
Pata ushauri jinsi yakufuga viumbe hai majini kisasa kama samaki aina ya sato, kambale n.k
Elimu kidogo juu ya ufugaji samaki aina ya SATO
Ufugaji Samaki Aina ya Sato
Ufugaji samaki aina ya...
Habari wanajamvi wenzangu!
Tatizo la ajira limekuwa sugu lakini nimekuja na suluhisho ambalo litaweza kuongeza kipato kwa sisi watu wa chini na hasa waliomaliza chuo na kukosa posts.
Naeleza...
Habari Wana JF!
Nataka nianzishe mradi wa kufuga kondoo dume pamoja na mbuzi dume kwa mkoa wa Tanga, ningependa kujua eneo zuri likiwa karibu na mjini itapendeza zaidi.. na mbinu na je italipa au.
Wasalaam ndugu zangu,naamini mu wazima wa afya.
Leo nataka nilale nikiwa najua ni hatua gani kama mfugaji mdogo anatakiwa kuzijua pale tu anapokuwa na wazo la kuanza ufugaji Kwa mara ya kwanza...
msaada jamani ndugu zanguni wataalamu wa kilimo. nahitaji mashine ya kuvuna mpunga inaitwa power reaper bainder(inavuna nakufunga bando yenyewe)napata wapi na bei ? km inavyoonekana kwenye picha:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.