Niameanza zalisha Cricket Insects kwa matumizi yangu ya kula tu, kwa kuanzia, Cricket ni moja ya Edble Insects na Asia wanaliwa sana ikiwa na pamoja na ku export Ulaya.
Cricket kwa radha ni sawa...
Wasalaam.
Binafsi ningependa kupata ufafanuzi juu ya matumizi ya mbolea za asili kama samadi ambayo ninaweza nikaipata kupitia mifugo inayopatikana katika eneo langu kama vile ng'ombe, mbuzi na...
Kutoka Hong Kong, mfanyakazi wa machinjio amepoteza maisha wakati akijaribu kumchinja nguruwe, Kwa mujibu wa gazeti la The Mirror.
Mchinjaji huyo mwenye umri wa miaka 61 alimshtua nguruwe kwa...
Mavuno mazuri ya machungwa yamepatikana mkoani Hunan, China, na watangazaji wanauza bidhaa hizo moja kwa moja kwenye mtandao ili kuwasaidia wakulima kuongeza mapato yao.
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Ninataka kufanya ufugaji wa ng'ombe wenye tija ila niko njia panda kuhusu wapi kuna faida zaidi kati ya kufuga ng'ombe dume au majike.
Nilihitaji kuanza na ndama...
Ninayo furaha kuwafahamisha kwamba nimeweza fanya kazi na member kadhaa wa Jamiiforums na ambao sio jf members( ila ni kwa kupitia jukwaa hili walinifahamu),waishio mikoa tofauti tofauti na mmoja...
Habari wakuu, nanshukuru mungu nimenunua kuku wanne wa miezi mitatu shiling 5000 kila moja nategemea kila mwezi kuongeza wengine kumi.malengo yangu nataka niwe nakuku 20 wa mayai. Nimetengeza...
Habari wana jamii,
Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku...
Habari zenu wafugaji,
mimi ni mfugaji tangu siku nyingi zilizopita, nimejikita sana kwenye kuku wa kienyeji.
hivi karibuni nilinunua mayai ya kanga nikayatotolesha pamoja na mayai ya kuku, sasa...
Wadau,
Nikiwa nahangaika kupata materials ya lishe kwa ajili ya shangazi yangu mwenye kisukari.
Nilizunguka soko la mbuyuni Moshi kila kona kutafuta mbegu za maboga sehemu moja nilienda bei Kg...
Kwa wafugaji wa mbwa naombeni ushauri nitumie sumu (dawa) gani kupambana na viroboto
Nimetumia kwa nyakati tofauti na kwa ushauri wa watu mbalimbali dawa kama ticks fix, alpha dip, dawa unga ya...
Wakuu naomba maarifa ya jinsi ya kuwazuia vicheche maana wanaingia bandani kwa kuku wanakula mayai.
Mahali ninapoishi kuna uzio wa senyeng'e so wanaingia mahali kuku hutaga na kuchukua mayai...
Wakuu kama kichwa cha habari.
Nina vimahindi vyangu kama robo heka hiv vina kama mwezi hivi.Ila wadudu wanavishambulia hatari sana.mwenye uzoefu wa daqa ya kutibu hili( kama kuna njia za asili za...
Kampuni ya Blueband ya Kenya ambauo ina product yao maarufu ya Margarine ya kupaka kwa mikate kwa sasa wana zalisha pia mafuta ya kula yatokanayo na Canola.
Wamekuwa wanapata Canola kutoka kwa...
Habari zenu wanajamii , nimekuja na fursa hii mpya nahitaji kilo 200 za iliki kwa mkulima na kilo 100 za vanilla kwa mkulima nitakuja kununua shambani kwako malipo no cash tafadhali nitafute kwa...
HERI YA MWAKA MPYA.
Ndugu zangu wataalam wa kilimo,hivi kuna utaalamu wowote unaweza kufanywa kwenye mti ili mti usizae matunda?
Nauliza hivi kwa sababu kuna sehemu nimepanda miti ni mizuri ila...
Wanajamvi naomba kujuzwa juu ya KILIMO CHA MTAMA tangu maandalizi ya shamba hadi uvumaji kwa hekari. Maeneo gani hasa KILIMO hili ni kizuri, masoko na usimamizi.
Karibuni wataalamu mtusaidie
Siku moja nilikaribishwa na rafiki yangu mzungu kwake,nilipofika kwake nikakuta wageni wengi waliokuja kujumuika kwake. Mambo yakaanzia hapa baada ya kujitambulisha kuwa na fanyabiashara na wazazi...
Habari wakulima na wafugaji wenzangu, kutokana na hali ya hewa kubadilika na mvua kuwa chache nimeona ni bora tupeane updates za maendeleo ya Mazao hapa nchini ili watu wajipange kwa kununua Mazao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.