Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na...
8 Reactions
24 Replies
12K Views
Salaam, Habari za mchana huu? Wadau ninaomba kujua kwa mwenye uelewa wa huu UGONJWA. Leo nimechinja kuku, nikakuta utumbo wake una vipelevipele, ila kuku alikuwa mzima kabisa kabla sijamchinja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nahitaji mayai ya Bata mzinga ambayo yanaweza kutotoa vifaranga (fertile eggs) Mwenye nayo au mwenye kujua wapi naweza kupata naomba tuwasiliane kwenye namba 0785 670 266. Mimi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, mfano, square mita moja inahifadhi kuku wangapi, ili nitajua kama nikitaka kufuga kuku kadhaa nahitaji kujenga chumba cha ukubwa fulani.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za kutwa wapendwa ndugu na jamaa. Napenda kuchukua wasaha huu kwa kuweza kujoin kwa pamoja na wana JF wenzangu na waalimu wazuri wa kilimo. Lengo la kuuandaa chapisho hili ni kutaka msaada...
2 Reactions
23 Replies
12K Views
Vijana wengi nchini kwetu Tanzania wanalichukulia suala la kilimo kama ni la kimasikini na lisilo wahusu. Vijana wengi hasa wasomi tunaomaliza Vyuo Vikuu nchini tunalalamika ajira hakuna ni kweli...
3 Reactions
6 Replies
963 Views
Habarini ndugu zangu, Nipo na uhitaji wa samaki aina ya sato wanaofugwa kwenye mabwawa waliotiyari kuvunwa, mahitaji yangu ni tani 2 kila week. Kwa yeyote anaefahamu wanapopatikana, au yeye...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Habar ndugu zangu, Naomba kuuliza kuhusu kumsaidia kuku ambaye shingo yake inapinda either upande wa kushoto au kulia na chanzo ni nini?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
UTANGULIZI Habari za sahizi mpenzi msomaji, nitumani langu u buheri wa afya nami namshukuru mungu kwakuzidi kunipa afya njema. kumekua na sababu nyingi sana ambazo husababisha wakulima wengi...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanajukwaa wenzangu. Kwanza napenda kuipongeza serikali kupitia wizara ya kilimo hasa kwa kuanzisha huduma ya M-kilimo ambayo kwa kiasi kikubwa ni mkombozi kwa wakulima hasa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf,tafadhali naomba msaada nijuzwe kuhusu tatizo la kitunguu maji kuota/kuwa mti katikati,tatizo ni aina ya mbegu au kuna sababu nyingine? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari, Nimepanda maboga ya kisasa F1 kama elfu 2 hivi, nataraji kuvuna maboga zaidi ya elfu 8. Naomba mwenye kujua soko zuri la maboga yenyewe yakiwa mabichi, mbegu zake au unga wa maboga...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau Habarini. Naomba kujuzwa machache kuhusu kilimo cha alizeti. Katika ekari moja yanapatikana mazao gunia ngapi? Je, kama nahitaji kufanya biashara ya mafuta kipi ni bora kati ya kununua...
4 Reactions
19 Replies
14K Views
Naam, wakuu natafuta bata mwenye mbegu bora ili nije kuanzisha rasmi ufugaji wa bata wa kueleweka. Naombeni muongozo sehemu za kuwanunua na gharama zake.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Maonesho na mnada wa ng'ombe yananza leo Julai 15, 2022 na yataisha Julai 17, 2022. Yanafanyikia Ubena Zomozi, kilometa chache kutoka Chalinze kama unaelekea Morogoro kwenye viwanja vya Highland...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Nin idea za kujikita ktk pembejeo za kilimo ktk mkoa wa iringa au Moro naombeni Kama Kuna mtu anweza kunipa abcd za biashara hi naomba kwa dhat kbsa aje anishahuri mdgo wake Hapa nin Cha...
2 Reactions
0 Replies
896 Views
Wakuu hivi kwa mazingira ya kijijini ambapo kipato cha wengi ni cha chini, kuku wa chotara wataweza kuboresha maisha ya mwanakijiji? Na kama sio hao, je ni kuku wa aina gani ni chaguo bora zaidi?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakulima wenzangu, mimi ni mgeni katika sekta hii ya kilimo ila kwa sasa nataka kujikita kwenye kilimo cha mihogo na viazi vitamu nina shamba la heka mbili shamba lipo lugwadu lakini sijui...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…