Habarini wadau! kheri ya mwaka mpya!!
Kuna ndugu yangu kamaliza chuo mwaka juzi. Mama mnavyojua, suala la ajira ni kitendawili kilichokosa majibu. nimefikiria kumshauri aanzishe tu kijikibustani...
Nahisi kama kuna michezo nachezewa na hawa jamaa. Nilituma kiasi cha laki kadhaa kwa ajili ya kupata vifaranga vya kuku kama wanavyojinasibu, lakin mpaka sasa nahis nipo gizani.>Ndo niseme nimepigwa?
"Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege
Chanzo...
Bila shaka mko salama,
Nina miaka 7 nalima viazi mviringo uku nyanda za juu kusini mkoa wa Iringa. Kwa miaka yote bei ya shambani ilikua inacheza sh 5000_8000 kwa debe shambani.
Lakini ilipofika...
Bila kupoteza muda zifuatazo ni tabia za wakulima zinazofanya kilimo kisiendelee:-
1. Kulima bila kufanya maandalizi
Wakulima wengi hawafanyi maandalizi mapenda yaani wanasubiri mvua inyeshe ndo...
Nimepitia threads zenu wazalendo lakini naona mnatwanga majio kwenye kinu tuu. Mimi nataka nifanye kilimo kwa mapigo haya....kisanyansi, eka chache kwa kuanza....orders zangu ni za ndani na nje ya...
Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee...
Ndugu zangu naomba msaada wenu,ninataka kuanza safari ya ufugaji wa mbuzi wa kienyeji hawa kama dodoma white,Singida white na Isiolo.
Nataka kufugia wilaya ya kilolo na sasa nataka wajuzi...
Ndugu wana JF,
Naomba ushirikiano wenu, natafuta nyumba ya kuishi ambayo naweza kutumia ktk biashara ya ufugaji kuku wa nyama, mimi Nimefika mkoani hapa ni mgeni kidogo, kwa sasa nimefika mtaa wa...
Jamani ndugu habarini,aam nilikuwa napenda kufahamishwa kwa kisayansi manufaa ya mkojo na kinyesi cha wanyama wa kufuga aina ya sungura.[emoji195] [emoji195]
======
Sungura ana sifa kadhaa...
Wadau salaam,
Naomba connection kwa mtu yoyote mwenye uzoefu wa kusafirisha mifugo kutoka mkoani iringa kuja Dar hasa mbuzi na ng'ombe.
Natafuta mdau wa kuchangia usafiri ili nilete mifugo...
Donors launch competitions to promote youth-led farming businesses.
THE second edition of Pitch AgriHack 2022 has been launched in the Kenyan capital; Nairobi to spur growth of youth led...
Salama humu? nahitaji Dragon cuttings kama 1500 zinahitajika Tanga, najua Chaha anakuwa nazo sasa nimejaribu kumtafuta tangu leo asubuhi simpati anaye hitaji ni Mama ndugu yangu na ame stafu...
Kilimo vs ufugaji, hapa nimejifunza jambo, kilimo ni chepesi ila mafanikio yapo mbali, ufugaji ni mgumu sana ila umejaa fedha, kilimo na ufugaji kwa mikoa ya kusini ukivifanya pamoja lazima upate...
Habari wakubwa natumaini wazima nimeleta uzi huu mnisaidie kimawazo.
Mimi ni kijana wa miaka 24 nimejaribu kuishi katika mazingira tofauti katika nchi ya Tanzania katika shughuli mbalimbali za...
Taswe.or.tz, vegrab.co.tz na wadau wengine muhimu tulipitisha mradi wa kuwawezesha wawekezaji katika mradi wa pilipili kichaa kwa 50%. Unachotakiwa ni kuchangia 4.2M/Acre kisha utaweza kupata...
Naomba kama kuna mtu anawafahamu madalali wa pilipili za mwendokasi kwa dar anijuze ili nifanye nao biashara kwa zao la pilipili mwendokasi aka Habanero
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.