Wadau salama?
Naitaji mtu mwenye makazi au connection na Isimani, Iringa. Nataka kuhamia huko kwa shughuli za ufugaji na kilimo, naomba ni DM.
Ahsante.
Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. Ningependa kushuhudia ufugaji wa wengine unavyoendelea na kupata ushauri kutoka kwa mfugaji mwenyewe ili niweze kujifunza vizuri zaidi, Tafadhali kama...
Naomba ndugu zangu wana jf mnijuze kuhusu kilimo cha tumbaku Tanzania.Kwa sasa nipo kwa mzee Mugabe naona wakulima wa tumbaku wana piga hela sana,sijui bongo gharama za kulima pia na bei sokoni...
Na Gaspary Charles - TAMWA ZNZ.
JUMLA ya vifaa 11, 000 vya kuhifadhia mazao ya Viungo na Mboga mboga vimetolewa kwa wakulima 666 wanufaika wa Mradi wa Viungo, Mboga na Matunda kisiwani Pemba...
Habari wanajamvi!!
Mimi ni mfugaji niliyekuwa nikifuga kuku kwa kununua vifaranga.... Baada ya muda mrefu nimeamua kujipanua kwa kununua incubator ndogo ya mayai 120....
Utotoleshaji wangu wa...
Ninaomba kwa mlioko Mbeya jiji nielekezeni mahali ninaweza kuipata mbegu ya Azolla.
Nataka nijaribu kuotesha kwa ajili ya kuku na bata.
Nimeambatanisha na picha ya mmea wenyewe!👇👇
Habari wakuu,
Nimesubiria story of change competition ianze naona haiji. Lol
Nimekutana na hii kitu ya Data Science in Agriculture...nikaona ni share na nyie.
Specific Kuna Decision Support...
HATUA ZA KUZALISHA HYDROPONIC FODDERS
Na Comrade Ally Maftah
0762212623
TREY ZA HYDROPONIC FODDER NI SH 3500
UKINUNUA TREI KITABU CHA UFUGAJI NI BURE NJOO INBOX NIKUTUMIE
Kwa kufata hatua...
Kwanza napenda kujua nani anayewafadhili kwenye miradi ya kubadilisha mbegu za asili na kutuletea hizo mbegu za kisasa ambazo wakulima wanaolima kibiashara wanazipenda. Sisi walaji wa karanga...
Ni kuhusu kilimo biashara. Unapoamua kulima lazima akili ilenge faida. Hukuna tena kulima kwa kubahatisha au kufuata mkumbo. Kwa msingi huo, ndiyo maana Kampuni yetu ya Kinasoru East Africa (T)...
Hbr kwenu wadau.
Kama heading inavyosomeka hapo juu m ni mkulima nipo Dar ila mwaka huu Kuna changamoto nimepitia kiasi cha kupoteza mtaji wa kilimo.
Sasa natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane...
Nipo Iringa inavyoelekea mwaka huu Mahindi hayashikiki. Ikiwa ni kipindi cha mavuno(June -July), bei ya debe inacheza kati ya elfu 13 hadi 14. Lita ya mafuta ya alizeti ni kati ya 5000 na 5500...
Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620.
Ushauri...
Jirani yangu tumepakana viwanja, aliamua kupanda mihogo kwenye kiwanja chake akivuta nguvu ya kujenga. Akitafuta mbegu inaitwa kikombe.
Juzi alipata mnunuzi aliyetaka Kuip ja kwanza...
Ufugaji ni Utajiri
Ufugaji siyo kuku na nguruwe.
Tuamke
kilimo ni mali
Tutunze pesa zetu kwa muda mrefu ili tupate pesa ya kununua Ardhi, vifaa vya shamba kama Trector. miundobinu. nyumba. maji...
Naanza kwa kutoa experience yangu.
Niliingia kwenye kilimo baada ya kushawishika na vipindi vya Clouds Media kuhusiana na fursa. Presenters walishawishi sana kuwa vijana hatujitumi na hatutumii...
HISTORIA YA ZAO LA MKONGE
Zao la mkonge liliingizwa nchini Tanganyika mwaka 1892 na mtaalamu wa kijerumani Dr. Richard Hindorff ambaye alikuwa ni mtafiti wa mimea na udongo.
Mtaalamu huyo...
Ufugaji hasa wa kuku ni gharama sana na Chakula huchukua asilimia zaidi ya 70 ya gharama zote za matunzo ya kuku.
Feeding coast ziko juu mno, na hazishuki bali zinapanda kila kukicha na wafugaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.