Habari za majukumu!
Jamani naomba kujua ni sehemu gani( mkoa au wilaya) ambayo ni nzuri kwa kilimo chochote iwe mahindi,mpunga,karanga,alizeti nk.
Nataka nijikite rasmi kwenye kilimo ila kabla...
Niko kwenye majaribio ya kilimo cha papai,aina ya malkia F1, nilinunua packet moja ya mbegu, ambayo ina mbegu 80, hatua ya kwanza niliziloweka kwenye chombo chenye maji safi kwa muda wa suku 5 na...
Habari za asubuhi wakulima wenzangu wa tumbaku. Mimi ni mkulima na pia nafanya biashara ya mazao yatokanayo na tumbaku Mkoa Tabora na Mpanda. Kwa Sasa tupo kwenye msimu wa soko la tumbaku Kama...
Twende kwenye mada moja kwa moja.
Mwenye uzoefu na kilimo cha iliki naomba afanye kushea na sisi hapa jukwaani maana naona kina bei kubwa Sana kwa kilo sokoni Kati ya sh.15,000 hadi 20,000/kg...
JE, BANDA LA UKUBWA GANI LINATOSHA KUKU WANGU?
Hili ni swali rahisi sana lakini cha kushangaza, limekuwa linasumbua sana wafugaji wengi. Watu wanajijengea mabanda kiholela na kuishia kuwa na...
Naam mm ni mkulima ambae nimekua nikilima mihogo sana, sasa naona ardhi yangu inaanza kupunguza uzalishaji. Nimewahi kuskia nikilima mihogo pamoja na mazao mengine yanayoendana yataongeza rotuba...
Haya matunda huwa watu wanayachukulia poa sana, haya matunda ni ghari sana kwa nchi za ulaya hasa Scandnavia countries na yanatoka South America hasa Colombia ambako ndo wazalishaji wakuu wa...
Habari wadau,
Ninatarajia kupata 20m na nahitaji inizalishie minimum 10m ndani ya mwaka mmoja kupitia kilimo.
Je, nilime au nijihusishe na nini ili nifikie lengo langu kupitia kilimo au ufugaji...
Kilimo cha parachichi kimekua n fursa sana kwa vijana kulingana na uhalisia wa soko kubwa lililopo ndan na nje ya nchi.
Unaweza kutengeneza pesa kwa kuuza miche ulio iandaa au kuiotesha wewe...
Uzi huu Ni maalumu kwa wakulima kutoka sehemu mbali mbali pia tupeane connection za kilimo pamoja na mazao
Kwa waliofanikiwa kupitia kilimo nivyema mpite hapa na kutushauri mengi kuhusu kilimo...
Salama wa kuu? Sina hakika kama tittle yangu km imekaa vzr, but ntajaribu kuielezea hapa.
Ni kwamba nimekua nikijiuliza hili swali kwamba je, nguvu za ngo'ombe wa maksai zinaweza kutumika kuvuta...
Habarini wadau, poleni na majukumu.
Kwa wanaoijua hii miti/maua hapo, anaweza kunijulisha kwa kiswahili yanaitwaje na wapi napoweza kuipata?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wadau, mimi mfugaji wa Bata nahitaji Mashine za kutotolesha mayai (Incubators), lakini iwe na uwezo wa kutumia umeme na Solar na Unaweza kuwa ya mayai 50-90+.
Yeyote mwenye kujua aina nzuri kwa...
Wakubwa salaam,
Ningependa kama kuna mtu anajua faida za binzari nyeusi na tangawizi nyekundu. Pia kama kuna tofauti yoyote na binzari za njano au tangawizi nyeupe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.