Habarini wadau na wapambanaji wenzangu.
Mi nimeanza mradi wa kufuga nguruwe na nimeanza na watoto.
Wanguruwe 10. Majike nane na madume 2 ambapo madume hayo nataka.
Niyahasi yakue fasta yaje...
Habarini wana jamvi, ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo nililiona huko mkoani Iringa, wilaya ya Mufindi.
Mwezi march mwaka huu 2021, nilienda kijijini kwetu huko mufindi, nikabahatika...
Habari!
Kwa kipindi kirefu nasikia kwamba Kilimo chenye tija cha nyuki kinaweza kumtoa mkulima kimaisha! Na nikilimo kichokuwa na gharama kubwa, eneo wala muda mwingi wa kukifuatilia kwani...
Habari za hapa wanajamii forum!!
Naombeni msaada wenu kwa wanaojua tatizo la nguruwe aliekaribia kuzaa (amebakiza wiki 1) kutokwa na mapele kuzungukia titi. mapele haya yalikuwa na hali tofauti...
Habari wakulima na wafugaji wenzangu, Mimi ni mkulima wa Machungwa na Mahindi Muheza Tanga ila msimu huu nataka kujaribu kilimo cha Maharage, nimeandaa eneo la eka 2 ila eneo lina michungwa...
Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje?
Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa.
MSAADA WA HARAKA WA USHAURI...
Wana jamvi niwasalimu kwanza, na moja kwa moja niende kwenye mada.
Asubuhi ya leo nimepokea taarifa toka kwa rafiki yangu mmoja aliyeko Dar akitaka kufahamu kwa nini mbwa jamii ya Rottwieler...
Habari za muda?
Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso au Kroiler ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za wakala yeyote wa silverland aliyepo dodoma anipatie, usisahau...
Habarini wana jamvi,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza nauhitaji wa mahindi kuanzia tani moja, kwa yeyote mwenye nayo aje na ofa yake tufanye biashara, au kama unafahamu yanapopatikana na...
Baada ya kujua manufaa ya Chia seesds nimeasmua kufanya majaribio ya namna ya kuzilima. Nimeanza na eka moja.
Nimeshindwa kutafsiri maelezo haya kwa kiswahili, lakini kwa ufupi hii ni lishe...
Nimeikuta hii video mahali, inaonyesha ni jinsi gani Urusi inafanya kilimo cha ngano kisasa mno na kuweza kuzalisha kiasi kikubwa cha ngano katika eneo dogo sana.
Habari za majukumu wakuu
Mimi ni mfugaji mchanga nimekuja mbele zenu kuna changamoto ninachopitia kwenye ufugaji wangu wa kuku.
Nina kuku wangu wawili wa kienyeji ni matetea namshukuru Mungu...
June 2021 nilianza kulima nyanya kwa kununua mbegu ya kipato f1 gm 2 kwa 20000/=,linkmil 1.5kg kwa 30000/=.DAP 5kg kwa 10000/=, foliar fertilizer 1kg kwa 5000/=, duduacelemectine 1ltr kwa 20000/=...
Habari wakuu. Naomba kujua kuhusu kilimo na soko la almonds. Na ushauri kutoka kwenu kama ni kilimo cha kukimbilia hasa kwa binti kama mimi ambae ndo kwanza anaanza kilimo. Please nisaidieni kwa...
Kitu ambacho kinafanya Mdalasin kuwa tofauti na mimea mingine zaidi ya kuwa kiungo bora pia utoa mafuta kutoka kwenye mizizi, gamba na majani, ambayo yana kemikali zinazotofautiana.
HALI YA HEWA...
Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo,
Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli...
Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.