Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Tujadili kuhusu kuku wa kienyeji -Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga? -Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Naomba msaada wa mtu anayeijua Handeni hasa Vijijini nataka kwenda kulima Mahindi. Kuna mtu kaniambia niende. Kama hauna msaada usichangie hapa.
1 Reactions
27 Replies
7K Views
WADAU napenda mwaka huu nianze kilimo cha Mpungu huku IFARAKA kwenye mwezi wa 12. Mnishauri ni Sh ngapi inahtajka kwa heka 20 na kila heka inaweza kunipa sh ngapi. Wenye uzoefu kama Masanja...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wakuu. Ninaanza ufugaji wa nyuki kwa hiyo sina uzoefu. Kuna changamoto moja nimeisikia kwamba nyuki wana tabia ya juiacha mizinga na kuhamia sehemu nyingine. Kana hii ni kweli naomba kujua...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wafugaji wa nguruwe me Niko morogoro mjini pesa ipo mkononi njoo tuongee biashara
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Natafuta dakitari wa mifugo alieyeko Mwanza specifically. Igoma Buhongwa Kisesa au maeneo karibu na hayo
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jf, napenda kuwajuza kuhusu kilimo kilicho chukua chat sana na kukua kwa kasi kwa miaka ya karibuni kwa maeneo ya rungwe MBEYA. Kilimo cha tangawizi kimesaidia sana kuboresha maisha...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu, naomba kuuliza, Kufuga kanga wa porini , sungura na kware, ni lazima kuwepo na kibali?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau samahani naombeni kujua tatizo la mapasheni kusinyaa na kudondoka chini kabla ya kukomaa. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate...
1 Reactions
6 Replies
751 Views
Wafugaji wenzangu naombeni dawa,kuku wangu wamekua wanakohoa sana kama Harmonize ( khoo! Khooooh! Yaaaaw yaaaaaaw! Jeshiiiiiii ) na kusinzia sinzia kama mateja, naombeni dawa gani nitumie ili wapone
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Black Soldier Fly au nzi chuma ni aina ya nzi ambao ni wa mwituni na hutumika sana kuzalisha larave au funza kwa ajili ya mifugo. Commercial Production ya larave hawa inawezekana sana Tanzania...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu mimi kuku wangu wanakohoa na ukiwasikiliza ni kama wanakoroma umri ni wa Mbezi miwili na vifaranga wa week moja na siku 6. Hii issue imedumu kiasi maana niliwapa Fluban siku 5 ikawa bado...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa waliowahi kufuga nguruwe na ngombe kipi kinalipa? Kwa mazingira niliyokuwepo ngombe ni biashara sana, yaani maziwa sipati hela ya maendeleo, lita tsh 700 kwa maeneo niliyokuwepo na kupata...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimepanda parachichi miaka kadhaa iliyopita huko kwetu Kusini, soko ikaporomoka parachichi zikaoza nikakosa pa kuzipeleka nikatamani nifuge Mbwa wanisaidie kula yanapoanguka lakini too late...
10 Reactions
62 Replies
11K Views
Habari zenu waheshimiwa, poleni sana na majukumu kidunia na kitaifa ndugu zangu mimi ni mjasiriamali mdogo hapa tanzania niko katika harakati za kujikwamua katika maisha hivyo nimeanzisha kamladi...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesafiri Kanda ya kusini na Central Corridor nimejionea wale vipepeo weupe wa kutaga viwavi wengi mno hii inaashiria patakuwa na viwavi jeshi wengi hivyo wakulima tegemeeni kukutana na kadhia...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Huu ugonjwa unaitwaje? Unasabishwa na nini? Na jinsi gani naweza kuudhibiti?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau. Mimi ni Mtanzania niliyebahatika kupata elimu katika nchi mbalimbali za Bara la Ulaya. Baada ya kumaliza elimu yangu nimerejea nchini kujenga taifa. Kufuatia changamoto ya ajira...
14 Reactions
253 Replies
56K Views
Back
Top Bottom