Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Nawasalimie yote kwa jina la muungano wa jamuhuri ya tanzania, kaa kichwa kinaposema, naomba msaada kwenu wakuu, je ni mikoa gani au wilagi gani ukulima wa pamba (cotton) uko kwa wingi sana hapa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba nifahamu kwa WAUZAJI wa ndama (ngombe na mbuzi) morogoro mnijuze nataka ninunue pesa cash cash cash
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika utafiti nilioufanya leo hii tar. 24.02.2022 Bei za mbolea zimepanda Mara dufu lakin kwa bahati mbaya serikali hadi sasa ipo kimya huku ikijua wazi kuwa Ruvuma-Songea ndio mikoa inayozalisha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ugonjwa huu hushambulia kuku wa Umri wote, lakini Vifaranga na walioko chini ya miezi mitano wapo kwenye hatari zaidi. Husababisha vifo mpaka 50% ya kuku wote waliougua. Coccidia ndio wadudu...
7 Reactions
6 Replies
26K Views
Wadau vifaranga wangu wanaumwa midomo na macho! Inaanza kwa kutokea manundu manundu hadi yanaziba macho kama muonavyo! Naomba kujuzwa huo ni ugonjwa gani? Dawa za kuutibu ni zipi!
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu, kaa kichwa kinavyosema, swali langu ni hii, je ni mikoa gani ambayo unaweza pata mbuzi wengi zaidi, na ngombe wa kununua, yaani kwa ufupi ni mikoa a wilaga gani zina mbuzi na ngombe...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Habarini wanandugu wa JamiiForums nimekuwa nizifwatilia mvua za msimu huu kama mjuavyo kwa ajili ya kilimo lakini inashangaza sana kwani hazieleweki. Kama huku Arusha yapata siku 4 mvua...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo. Lengo ni hasa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Hii wizara inangoja nini kutoa mwongozo wa zao la choroko kuhusu bei maana imekua kimya alimanusura tupo Afghanstan. Waziri husika embu changamka sio mpaka Rais Samia afanye kila jambo. NB...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa yyote aaehitaji Blog ya biashara, Binafsi tunatengeneza kwa being nafuu sana pia kwa yyote anaetaka blog yake kubadili kuwa na professional looking tupo kwa ajili yako. Badili blog yako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini ndugu wa JF, Tupeane mawazo hapa kwenye hii mada tafadhali. Kwann jamii zetu nyingi zinashindwa kuzalisha ng'ombe nyama wa kutosha? Je, tuchukue hatua gani maana ng'ombe nyama wanalipa...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Ngombe wangu anakohoa kwa muda mrefu sasa. Nilimtibu kwa penstrep àkawa Kama amepona. Sasa vimerudi. Tena nywele za mgongoni zimesimama. Ni tatizo gani na matibabu yake Ni Nini. Msaada tafadhali
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo. NB...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wasomaji, natamani na nahitaji niingie kwenye kilimo Cha maharage, nipo Njombe, ni Aina ipi inafaa saana hasa yenye Bei nzuri na mavuno mazuri niitumie?
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuku wangu ana wiki na nusu sasa anasumbuliwa na huo ugonjwa ambao bado sijajua ni ugonjwa gani. Kiukweli, anakohoa na kupiga chafya halafu ukimsikilizia kwa muda flani hivi unasikia kama...
0 Reactions
22 Replies
17K Views
Tafadhali naomba nisaidiwe kwa yoyote mwenye kufahamu, Kuhusu chakula sio tatizo ninakitabu kinaniongoza namna nzuri ya uchanganyaji chakula cha nguruwe. Natunguliza shukurani, Thnx.
5 Reactions
10 Replies
4K Views
Nipo Kigamboni, mwenye paka wadogo nahitaji, asiwe rangi nyeusi kama kachanganya rangi poa.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500. Naomba msaada mwenye kujua...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wafugaji wengi hufanya makosa makubwa sana ya kuanza kujenga banda na hatimae kuanza kufuga, bila kuwaza namna ya kutengeneza chakula mwenyewe. Bila kuwa na chakula chako mwenyewe, mifugo inatesa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana habari ya mchana huu, Ni matumaini yangu mnaendelea vizur na majukumu yenu ya kila siku kama kichwa kinavyojieleza Hapo juu natafuta hiyo dawa kwa ajili ya kuua magugu kwa bei ya jumla...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom