Jifunze Urban Gardening, tumia eneo dogo, rasilimali zinazopatikana kwenye mazingira unayoishi kujipatia mbogamboga, matunda na tiba zisizokuwa na kemikali za viwandani.
Tumia mbolea za asili...
Mdau wa kilimo na ufugaji, sisi MDI, tumejitoa kufuatilia tafiti mbalimbali na kuzifanyia kazi, Kisha kuwafundisha wengine. Haya ndo Mambo tunayoshughulika nayo kwa Sasa
1. Kilimo bila udongo...
MWONGOZO BORA WA KUKU WA MAYAI
Utangulizi
Kuku wa mayai wanafaida kubwa iwapo utawalea na kuwatunza vizuri. Kwa kawaida kuku anaekaribia kutaga (pullets) wanatakiwa kuwa na mifupa na misuli...
nguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu.
Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito...
Tanzania tuna eneo la mwambao wa bahari kutoka Kaskazini mpaka Kusini lenye urefu upatao 1084km, idadi ya vyombo vya uvuvi upande wa Bahari ya Hindi ni pungufu ya vilivyo ziwa Victoria.
Ripoti ya...
Kabla haujaamua kuingia katika kilimo cha biashara inakupasa kwanza ufahamu mambo muhimu ambayo yatakusaidia katika shughuri yako ya kilimo husika.Kwani yakupasa kutambua kila kazi ya kuingiza...
Habari wana jamvi ? Naomba msaada kwa anae fahamu dawa nzuri ya kuongeza uzito kwa kuku wa nyama! Nina kuku zangu zina mwezi sasa ila hazina uzito kabisa. Nawasilisha kwenu wana jamvi.
Habarini,
Nimelima tikiti zinatambaa sasa, nilishawahi kuli a mara kadhaa na nikavuna.
Changamoto iliyopo inayonifanya niombe ushauri kwenu ni kwamba tikiti zinapoanza kukomaa Kuna viumbe aina...
Wale wanaohitaji kuzielewa power tiller karibuni.
Uzi huu utatumika kujibu maswali na majibu ya wadau ambao wamekua wakiniuliza mara kwa mara.
Kuna aina kuu mbili za power tiller yaani Long hand...
Habari wakuu,,,
Naomba kuuliza wenye uzoefu na biashara za kuku, ni biashara ipi inalipa zaidi kati ya ufugaji wa kuku wa mayai au kuku wa nyama??
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Habari za leo wakuu, kichwa cha habari kinajieleza...nina ile fensi ya yebo yebo sasa kuna wale wadudu weupe(white flies) wamekuwa kero sana..
Nimetumia duduba na inaua sema ni kama imewazoea na...
Habari wna bodi
Wiki iliyopita nilikua na ziara yangu binafsi katika baadhi ya vijiji vya mkoa wa Iringa. Nimejionea mashamba makubwa ya mahindi yanamwagiliwa kwa mitambo. Kwa sasa wenyeji...
Haya matunda nilibahatika kuyala nikiwa mdogo na wakati huo sikufanikiwa kujua hata yalikuwa yanaitwaje ila ninacho fahamu ni kwamba yana ladha nzuri sana ya utamu ambayo hauwezi kufananisha na...
Salute kwenu mabibi na mabwana.
Mafanikio makubwa huja kwa ku-take risk kubwa vilevile. Ukikosa unakosa kweli unaweza usirudie tena lakini mzigo ukitiki unatoboa kweli kweli.
Sasa mpango mzima...
Wadau poleni na majukumu
Baada ya kipindi kirefu toka rafiki yangu anipe story juu ya zao la vanilla huko kwao Kagera na jinsi linalindwa haswa wakati wa kuvuna nilipata shauku ya kujua zaidi...
Habari!
Wakuu naomba elimu kwa ufupi kujua hii mbegu ya alizeti anayogaiwa na serikali huko kwenye maduka ya pembejeo inauzwa kiasi gani kwa ujazo wa kilo mbili na je ni aina gani ya mbegu na...
Naomba kwa mwenye ujuzi na huu utaalamu wa kutotolesha mayai kuku kwa kutumia pumba
maana ni tegemeo langu kuwa kuna wataalamu weng kwenye masuala ya ufugaji
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.