INDIAN RUNNER DUCKS
Indian runner ni bata wa wafugwao chimbuko Lao ni kutoka kusini mashariki mwa ASIA.
Bata hawa anaweza kuwa na rangi tofaut tofout kama watakavyo onekana kwenye picha hapo...
Habari wana jukwaa la ufugaji,
Nataka kufuga Bata wa nyama. Hivyo naomba ushauri wenu wadau ili niweze kutimiza lengo langu.
Asanteni.
Zaidi soma>>Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji...
Waungwana salaam!
Napenda kufahamu kwa undani kuhusu unenepeshaji wa ng'ombe.
1. Mchanganyiko wa chakula
2. Kiasi anachokula ng'ombe kwa siku
3. Nyasi ale kiasi gani au asile kabisa?
4...
Anayejua elimu/ujuzi wa ufugaji wa Nyuki, Mizinga bora,ulinaji asali na soko la asali atupe elimu. Natamani kufanya biashara hii.
===========
Ericus Kimasha
..1. Naomba ufafanuzi nasikia kuna...
Habari za uku wakulima wenzangu naombeni msaada haswa wa Mambo mawili
1.ardhi
Hivi ni njia gani mtu unaweza milikishwa ardhi ambayo no mapori bado na kuianzisha kwaajil ya kilimo
2.Masoko
Ni...
Nawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba msaada kwa anaejua mahala naweza ipata dawa ya kuogeshea mifugo CYPERTOP E.C.
tafadhalini maana kwa Dar nimeitafuta haipatikani kabisa natanguliza shukrani...
Habari wana JF,
Kuna hii idea ningependa kujua moja mbili tatu. Natumaini itasaidia wengi humu.
Kufanya uwekezaji katika kilimo cha mpunga kwa kununua ardhi, kuanza kulima, kufanya umwagiliaji...
Kutokana na passion yangu ya kilimo nimeona nije kwenu wadau kuomba ushauri.
Nimepata eneo ninaloishi ambalo nimewaza kufanya kilimo cha mboga mboga na matunda.
Nina uzoefu kidogo cha kilimo cha...
Habari wakulima na wafugaji wenzangu, kumekuwa na malalamiko mwengi siku hizi kwa wakulima wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo cha papai kwamba wanakutana na mipapai dume mingi pindi wanaponunua...
Wadau,
Nahitaji kulima maparachichi. Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba kujua changamoto na nini nifanyeje ili nieweze kufanikiwa.
MASWALI YA WADAU WENGINE KUHUSU ZAO HILI
Kama kuna mtaalamu wa...
Tujadili kidogo kuhusu mbolea au virutubisho vya mimea.
Kama wewe Ni mkulima mdogo, wa Kati au mkubwa utakubaliana nami kwamba changamoto kubwa hasa kwenye shughuli za kilimo Ni mbolea na madawa...
Nimefikiri kitu kimoja baada ya kuona kuwepo watu wengi kutafuta partner/ mtu wa kushirikiana nae katika kilimo.
Kuna changamoto nyingi sana katika kushare biashara maana kila mtu anakuwa ana...
Makujumu makubwa ni:
1. Kuanzishwa mabwawa ya samaki kila Wilaya na kuwa na species mbalimbali
2. Kusimamia uzalishaji wa samaki kwa kuzingatia taratibu za kisayansi
3. Kutafutà masoko ya...
Habar wanajamvi,
Msaada tafadhar mbuzi wangu ameugua ghafla asubuhi ameanza kulia kisha ametoa povu mdomoni tukaona tumchinje
Baada ya kumchinja tumeona mapafu yana povu.
Msaada hizo ni dalili...
Wakuu Habari za majukumu, Natumai kazi inaendelea...
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa kujua undani, ubora na fursa katika internships za nje ya nchi hasa nchini marekani kwa baadhi...
Habar zenu huko mliko,
-Nahitaji kujua namna ya kulima mbaazi yaani upandaji, mavuno kwa kila heka pamoja na changamoto zake.
-kiasi Cha mbegu kinacho hitajika kwa heka moja.
-Muda katika uvunaji...
1. Nitajuaje kuwa maziwa yamekuwa safi tayari kunywewa na binadamu kwa ngombe aliyezaa?
2. Yana athali gani binadamu kunywa madanga?
3. Kwanini huwa yanamwagwa ukikamua?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.