Habari wanaJF..
Nimejaribu kutafuta misimu ya matunda karibia site zote kwenye mitandao zinazohusiana na kilimo bila mafanikio, hatimae nimekuja hapa Jf nikiamini kabisa hapakosi wataalam na...
Habarini Wana JF
Naomba kufahamishwa juu ya mazao yanayovunwa kwa wingi mkoani Morogoro kwa mwezi March-April, pia na vijiji ambavyo mazao hayo yanapatikana kwa wingi.
Natanguliza shukrani.
Habari za zenu wadau. Nina Bustani yangu ya Nyanya ambayo sasa hivi miche ishaanza kutoa matunda lakini tatizo nililokutana nalo ni kwa baadhi ya matunda kuwa na hali kama ya kuoza au kuungua...
Watu wengi wanaamini kwamba ufugaji na haswa wa kuku unahitaji eneo kubwa sana au mabanda makubwa sana kama nyumba ili uwe na tija ,lakini ukweli ni kwamba ndani ya eneo lenye ukubwa wa robo acre...
Kuna msemo kuwa. Unakula usichozalaisha, na unazalisha usichokula!
Juzi nimeshangazwa na majibu ya Mkulima mmoja wa Dengu aloponiambia kuwa hajui dengu zinliwaje!?
Hiini baada ya mimi kumuuliza...
Napenda kutoa faida za zao la pilipili kichaa. Biashara hii imeshika kasi katika miaka hii ya hivi karibuni. Biashara hii ina pesa nyingi na wanunusi hawakopi bidhaa kwa wakulima.mauzo yake ni...
AGROCENTRE ni programu ya kilimo na ufugaji ambayo inamwezesha mtumiaji kupata masoko na na elimu kulingana na sehemu anayoishi.ni programu ya ambayo ilitengenezwa na mwanafunzi wa chuo kikuu cha...
Me ni mkazi wa morogoro mjini ningeomba mfugaji yeyote anaye fuga nguruwe hapa Morogoro mjini aje dm anipatie namba pia Kuna baadhi ya vitu nataka nifahamu kuhusu nguruweee kwakua Nina mtaji...
Nimekuwa nikisikia sifa kemkem za mmea wa Azolla kwamba unafaa sana kwa kulishia kuku, ng'ombe na samaki.
Inaelezwa kuwa una kiasi kikubwa sana cha protein, madini na vitamin. Pamoja na kuusoma...
Pokeeni salamu zangu za dhati ndugu zangu wapambanaji wenzangu na polen na majukumu ya kutwa nzima ya Leo.
*Mimi ni kijana niliyetoka katika familia duni na isiyo jiweza kiuchumi lakin Nina ndoto...
Wadau nipo mbioni kununua water pump kwa ajili ya shughuli za umwagiliaji.
Naomba kujuzwa ipi ni aina bora ya water pump, hasa hizi za inchi 3-4 zinazotumia petrol.
Ahsanteni!
Habari zenu wakuu,
Nina uhitaji wa nguruwe kwaajili ya kuchinja na kuuza aliyekuwa kaniuzia naona ameshindwa kwakuwa nguruwe wake wamebaki wachache sana. Napatikana Dar
Vigezo:
1. Uwe na uwezo...
Wanabodi
Ninafanya ufugaji wa nguruwe na kuku.
Kwa sasa ninafugia Kigamboni. Lakini ninampango wa kuhamishia project Wilaya ya Mkuranga nina shamba la ekari sita huko.
Natafuta mjasiriamali...
Ndugu zangu Habari za majukumu.
Katika pita pita zangu nimegundua kuna wawekeezaji wengi sana wakubwa (Wazawa na wageni) katika Sekta ya Mifugo (kuku, ng’ombe mbuzi n.k) lakini hatuwafahamu
Basi...
Kutokana na ongezeko la maswali ya wadau wengi juu ya ufugaji wa kuku aina hii, tumeonelea ni vema tukauweka mjadala huu vema kuweza kuwasaidia wafugaji na wanunuaji wa vifaranga/kuku wa aina hii...
Naomba msaada wa kujua ni dawa gani nitumie kwa ajili ya kutibu tatizo sugu ambalo linakumba miti yangu aina ya mipera, kila ikiweka mazao, mapera yote yanakauka baada ya kufikia hatua flani...
Habari zenu wapendwa natumai mnaendelea vizuri na mimi pia sijambo
Kwasababu kilimo pia ni sayansi basi hata mambo yanayofanywa kwenye kilimo huzingatia sana mambo pia yakisayansi
Kupalilia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.