Habari Jamvini! HAYA NI MAWAZO YANGU TU.
Ukiachana na uwepo wa zana za kisasa kama vile tractors pamoja na wataalamu wa kilimo kama vile agronomists na wataalamu wengine waliosomea mambo ya...
Habari zenu wadau
Naamini mpo vizuri
Leo tujifunze pamoja kuhusu zao la parachichi
Kila mkulima ambaye anafanya kazi ya kulima na kuvuna lengo lake kubwa ni kuhakikisha kwamba anapata mavuno...
Habari za usiku huu wadau.
Baada ya kupata taabu ya kutafuta kuku wa kienyeji wa kula, sasa nimeua rasmi nianze ufugaji mwenyewe. Nimejaribu kuangalia sokoni, utakuta kuku wa elf 17 ni mdogo sana...
Ninaombaa kufahamuu kuhusu mipapai isiyotoaa matundaa, ni hali gan inapelekeaa kuwa hvyoo?? Je kufungiaaa gunzii kwa mti kuna saidiaa kutokana na hali hiyoo?
Tafadhaliii mwenye kujua jambo hili.
Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa...
Habari ya wakati huu wana Jf....!??...
Niende moja kwa moja katika mada hii husika na kichwa habari hapo juu...
Nipo katika mpango wa kufuga kuku kibiashara, hivyo naomba ushauri juu ya ni aina...
Serikali iwasaidie wakulima wadogo wadogo katika kuwawezesha kunufaika na kilimo kilicho bora.
Na tunajua kwamba Kilimo ni uti wa mgongo kwa taifa ambapo lishe yote ya wananchi inategemea juhudi...
Habari ndugu
Hapa nazumgumzia wale walio katika sekta ya ufugaji na ambao hawapo ila wana uelewa na jambo hili tujuzane hiki chakula aina ya concentrate ubora wake na kampuni ambazo zina chakula...
Wakuu heri na amani na iwe kwenu ni matumaini yangu kuwa hamjambo kama mimi.
Kabla sijaenda kwenye mada nikiri wazi kabisa kipaji cha kuandika sina ila ninauwezo wa juu wa kusikiliza na kuongea...
Habari yako
Naamini unaendelea vizuri na kama haupo vizuri basi MUNGU afanye wepesi kwaajili yako.
Karibu tujifunze pamoja
Kwenye kilimo kuna mambo mengi sana ambayo huchangia sana katika mavuno...
DRAFT 1
MATUMIZI
Gharama zisizojirudia kila msimu
1.Shamba: Kukodi laki moja kwa ekari moja. Hapa litakodiwa hekari mbili.
2.Kisima: Gharama ya kuchimbiwa ni milioni mbili.
3.Unatakiwa kuwa na...
Ni wapi Tanzania kuna mfumo wa unenepeshaji mifugo (hasa wa nyama)kwa njia ya "feedlots" sijui neno sawia kwa kiswahili. Kama Kuna wadau wanazo hizo Center tusaidiane ili nijifunze jinsi ya...
Kumekuwa na upotoshaji kwa baadhi wa watu wanaojiita wataalamu wa ujasiriamali, hasa wanaofanya shughuli za ufugaji kwa maandiko ya whatsapp bila kuwa na hata kuku mmoja bandani.
Nimesukumwa...
Nilipata Breed ya Kware wakubwa Jumbo kutoka nchi noja hivi, na naendelea kuwa breed kwa sasa.
Mahesabu nilio piga ni kwamba Bongo kwa sasa kitoweo ni Biashara kubwa sana.
Fikiria Vile visamaki...
Habari wadau wa ufugaji,
Nina kuku wangu ninayempenda sana amepatwa na kaugionjwa bado sijakaelewa. Ugonjwa wenyewe ni kukimbia kimbia na kuzungua na kukosa balance na kuanguka akisimama.
Hapo...
FURSA YA KILIMO CHA NYOKA
Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo chenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana.Sumu ya nyoka inatumika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.