Ni muda Sasa tangu nimeanza harakati za kufuatilia mbinu za kupunguza malisho ya mifugo. Kwa mengi niliyojifunza, machache nimewafunza wengine wengi. Machache hayo Ni:-
1. Hydroponics fodder
2...
Wapedwa katika bwana.
Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.
Nina shamba la migomba lkn ghafla nimeshangaa kuona mgomba mmoja uko tofauti Kwa ukuaji Na majani ya nimefatilia ktk mitandao nikaona Wana sema ugonjwa huo unaitwa (banana bunchy top disease) Sasa...
Daah kwa kweli siku hzi wafugaji na wakulima kuna migogoro mbalimbali hutokea Kila siku.
Mifugo kula mazao ya wakulima inapelekea migogoro mbalimbali hata vifo pia.
Tutafanya nin ili kupunguza...
Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife?
Msaada tafadhali ndugu wafugaji
Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu inayolua haraka, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara).
Nimewaza kununia mihashoki...
Kilimo kinafaida kama sheria zake zikizingatiwa kuna mambo usipo yazingatia kwenye kilimo basi nakuhakikishia utaambulia maumivu au hasara kitu kama ufuatiliaji kama hauna ufuatiliaji mzuri wewe...
Mtazamo kuhusu kilimo imepelekea watu kufanya kilimo kama kazi ya ziada au shughuli ya zaida katika kupata faida ili kuendesha maisha au naweza kusema hawachukilii serious ulimaji wao,
Ni kweli...
Wadau kama kichwa cha habari kinavojieleza, nina kama gunia 30. Naomba mwenye kujua dawa nzuri ya kuhifazia maharage anijuze kwani nahitaji kuyaweka kama miezi minne..
Najua wajuvi mnaodili ni...
Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo yenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana.Sumu ya nyoka inatumika kwa wingi kwenye viwanda vya...
Nahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0.
Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au...
Kutokana na tafiti ambazo zimefanywa na watu mbalimbali wanasayansi mbalimbali duniani (ndani ya Africa na nje ya Africa) wamekuja kugundua kuna umuhimu mkubwa sana wa mboga mboga hasa mboga mboga...
Kuhudumia heka 10 ya #mpunga kitaalam kabisa wastani inataka uwe na mtaji wa 10m kwa msimu.
Kilimo ni fedha kilimo ni uwekezaji wa akili na muda.
Usiingie kwenye kilimo cha mpunga kama huna...
Ngombe ana mastitis kali. Maziwa yote manne yalikuwa yameugua yanatoa maziwa almost kama yananata kama gundi ya maji. Akatibiwa kwa Gentamycin, then akaja daktari akasema ungelianza na dawa ya...
Habari zenu ndugu zangu, katika kutafakari nini cha kufanya nimejikuta napata wazo hili ambalo kimsingi kwa mtu ambaye atazingatia itamsaidia.
Hii ninazungumza kutokana na uzoefu nilionao katika...
Nimekuwa mjini muda mrefu sana
Nimeona kukaa mjini hailipi
Napanga niende kijijini nikalime
Niepukane na matozo ya serikali ambayo yanaletwa kila uchao
Niko kanda ya ziwa
Unanishauri nihamie...
Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini.
Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo...
Habari waJF,
Kwa wale wafugaji wenzangu wa mkoa wa Kagera na mikoa jirani sasa unaweza kupata mbegu za Azolla zenye ubora unaohitajika kwa bei rafiki kabisa.
Tuwasiliane kupitia namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.