BUNDI ni ndege mwenye sura inayotisha kidogo kulinganisha na ndege wengine hasa kutokana na kuwa na uso mkubwa wa mviringo, macho makubwa ya mviringo na masikio makubwa.
Unaweza kusema ndege huyu...
Haya ni matunda ambayo yanapatikana sana Asia na pia America,
Ni matunda ambayo yana ladha kati kati ya pears na Kiwi Kwa wale waliowahi kula Kiwi fruit.
Haya matunda ni ghali sana na kuna...
Wafugaji wenzangu leo naomba tupeane uzoefu kuhusu biashara ya utotoleshaji vifaranga vya kuku, utaratibu upoje na bei zake zipoje.
1. Analipia kila yai analoleta au kwa kila kifaranga...
Naonaga watu wengi sana wanalalamika wameambiwa wafuge sungura na mwisho wa siku wanao wahamasisha wanaingia mitini.
Ufugaji wa Sungura ni kwamba wafugani wameshindwa ku tengeneza demand...
Habari za jioni wakulima wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza ninahitaji mbegu za Azolla kwa chakula cha Kuku na mm napatikana Korogwe, Asanteni
Habar wana jamvi? Samahani naomba kujuzwa gharama ya kuku wa kienyeji mkoani Singida nahitaji wa kufuga anayekaribia kutaga ni shilling ngapi kwa kila kuku mmoja? Na nimaeneo gani/ kijiji gani...
Natumai mko poa
Mtakumbuka uzi wangu huu
Mvomero: Upatikananaji wa Ardhi na Mazao yanayostawi - JamiiForums
Wengi mlinishauri niende pale Halmashauri ya Mvomero. Nilifanya hivyo ila cha ajabu...
Wakuu habari zenu naamini wengi wetu tutakuwa ni wazima na wale wagonjwa tuzidi kuwaombea ili warejee katika hali yao ya kawaida
Katika pitapita zangu nmekutana na post moja ikionyesha mchanganuo...
Habarini zenu wapendwa
Naomba kupewa msaada na maelezo katika baadhi ya mambo nitakayo yaainisha hapo chini.
Kwanza kabisa mimi ni kijana mtafutaji kama wengi wetu tulivyo nilipoenda kijijini...
Habari wanajamvi na wataalamu wa kilimo
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimekuwa na utaratibu wa kuzunguka shamban kwangu mara kwa mara ,,,Leo nimegundua kuna wadudu wa aina mbili ambao...
Sasa hivi Dar imevamiwa na maparachichi fulani hivi ambayo sio kama yale tulozoea ya Kilimanjaro, Arusha, Bukoba na Mbeya lakini sasa hivi yameingia maparachichi ya tofauti kabisa
Haya...
Wakuu tafadhali mwenye uzoefu na masuala ya ufugaji nguruwe wanakaribia miezi 5 lakini bado kasi sio nzuri ya ukuaji kwa waliowaona utahisi wa miezi 3 na nusu tatizo nini. NB naishi maeneo yenywe...
Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau.
Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani...
Nahitaji kuanzisha duka la pembejeo za kilimo elimu yangu ni diploma ya social work
Naomba kuuliza je? Eti ni kweli ni lazima nipitie mafunzo mafupi ili kufungua duka la pembejeo za kilimo,
Na...
Viazi lishe ni aina ya viazi vitamu vyenye mwonekano wa rangi ya njano kwa ndani vikimenywa. Viazi lishe ni biashara mpya katika kilimo biashara ambacho hakijamulikwa vyema na wakulima wetu. Hii...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU KILIMO HIKI:
Mwenye kufahamu ufanisi wa hiki kilimo atujuze mambo yafuatayo:
1) Mbegu bora zinapatikana wapi?
2) Zinachukua muda gani kukomaa?
3)...
Maharage ni miongoni mwa nafaka zinazotumika sana Tanzania, tafsri yake soko lake lipo, kuna aina nyingi za maaharage, lakini maharage maarufu na yenye soko ni maharage ya njano, ni mikoa gani na...
Tanganyika ilikuwa eneo la kilimo katika utawala wa Uingereza. Walitangaza uwekezaji katika kilimo na waliopenda kuwekeza iliwapasa kuonyonyesha uwezo wao wa kuiendeleza ardhi kabla ya kupatiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.