Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Mimi ni mkulima mdogo na ni mfugaji mdogo wa mifugo na nyuki. Nimepata tetesi kuwabenki ya NMB imeanza mpango wa kutoa mkopo kwa wakulima. Nomba utaratibu, maelekezo na ufafanuzi upo na...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Habar Wana Jf, This year, tmeona mfumuko wa bei hasa kwenye mafuta, Nazungumzia Cooking oil. Siku zote nlikua nawaona WAKULIMA WA malighafi za uzalishaji mafuta ya kula wako nyuma sana, hasa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nataka nianze kufuga kuku hawa wa kisasa wa mwezi mmoja, soko nitalipata wapi niwe nauza kwa jumla. Nataka nianze na kuku 200 kwanza. Kuna mtu aliniambia Shekilango, sasa anaejua utaratibu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi. Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati. Ni kilimishi...
2 Reactions
23 Replies
8K Views
Habari wakuu,! Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara, Napenda kujuzwa zaidi ni mbegu ipi nzuri kati ya hizi 1:sasso 2: Kroiler 3:kuku wa Malawi Katika vipengele hv 1:utagaji 2:ustahimilivu wa...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Vijana popote mulipo hebu tufike mahali tufikiri nje ya box. Tukikaa kulialia eti hakuna fursa wakati wageni wanakuja mpaka wanatucheka. Nilitembelewa miaka ya nyumba na jamaa yangu kutoka...
5 Reactions
15 Replies
5K Views
Wajasiriamali wenzangu ningependa kujua miti aina ya cyprus huchukua muda gani baada ya kupandwa mpaka kuvunwa? Na pia inahitaji mtaji kiasi gani kwa hekari moja? Na unapanda miti mingapi kwa heka?
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari Wanajamvi, Baada ya kujiunga JF si muda mrefu sana nimepata fursa nzuri ya kuweza kupitia threads mbalimbali hasa za ujasiriamali zilizonipa hamasa za kuchangamsha ubongo wangu kipi cha...
19 Reactions
49 Replies
21K Views
Wafugaji wenzangu wa broilers huko kwenu soko lipoje maana huku kwenye ni vilio tupu. Saiv nimeamua kugawa tu kuku maana wanazidi kunitia hasara.
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Hata kama wanachukua vya kule Mang'oea na kufanya repacking bado tu ni kwamba ni wana akili, mbona sisi tunashindwa kufanya hio packing? Wakenya wanauza vitu vingi sana kwetu na vingine huwa...
1 Reactions
9 Replies
957 Views
Wadau Nawasalimu. Bila kuyatatua Matatizo yanayoikabili Sekta ya Kilimo kwa Miaka 60 iliyopita HAKUNA MAJABU tutakayofanya kwa KILIMO Chetu Tutakuwa TUNADANGANYANA. KILIMO cha Tanzania bado ni...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Nilikutana nayo leo, nilienda kule kikazi ikabidi nizunguke kuangalia products mbali mbali. Haya matunda unaweza vuna miaka 40 Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakulima wengi mkoani Kilimanjaro kwa sasa wameanza kuangalia fursa mbalimbali katika sekta inayohusiana na kilimo cha mazao ya biashara pamoja na masoko yake. Baadhi ya wakulima wachache mkoani...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesoma sehemu kuwa mmea huo una protini nyingi kwa kulisha mifugo, hasa wanyama wanaocheua. Sijaona sehemu wanapoelezakuhusu wanyama wengine. Je, inafaa pia kwa kulisha nguruwe na akapanufaika...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu nahitaji kupata mkulima au supplier ambaye atakubali kuniuzia maparachichi mazuri na kwa bei isiyo nzuri. Awe na vigezo vifuatavyo. 1. Uwezo wa kuuza parachichi kwa makubaliano ya bei...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
PANDA MITI YA MBAO NA NGUZO UNUFAIKE BAADAE Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na...
2 Reactions
15 Replies
13K Views
Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko kahama shinyanga, ni mjasiliamali ninaeshughulika na ufugaji wa kwale. Wapi nitapata soko la mayai
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom