Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

1. Blackk Pepper 2. Blackkk Berry 3 .Green Kiwi 4. Dawarf Papaya 5. Cumin 6. Golden Cayenne Pepper 7. White Cardomon 8. Min Paprika 9. Gem Squash 10. Gooseberry 11. Poppy 12. Winter Delicata...
0 Reactions
6 Replies
873 Views
Habarini wadau! kheri ya mwaka mpya!! Kuna ndugu yangu kamaliza chuo mwaka juzi. Mama mnavyojua, suala la ajira ni kitendawili kilichokosa majibu. nimefikiria kumshauri aanzishe tu kijikibustani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahisi kama kuna michezo nachezewa na hawa jamaa. Nilituma kiasi cha laki kadhaa kwa ajili ya kupata vifaranga vya kuku kama wanavyojinasibu, lakin mpaka sasa nahis nipo gizani.>Ndo niseme nimepigwa?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
"Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege Chanzo...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Bila shaka mko salama, Nina miaka 7 nalima viazi mviringo uku nyanda za juu kusini mkoa wa Iringa. Kwa miaka yote bei ya shambani ilikua inacheza sh 5000_8000 kwa debe shambani. Lakini ilipofika...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda zifuatazo ni tabia za wakulima zinazofanya kilimo kisiendelee:- 1. Kulima bila kufanya maandalizi Wakulima wengi hawafanyi maandalizi mapenda yaani wanasubiri mvua inyeshe ndo...
3 Reactions
8 Replies
884 Views
Nimepitia threads zenu wazalendo lakini naona mnatwanga majio kwenye kinu tuu. Mimi nataka nifanye kilimo kwa mapigo haya....kisanyansi, eka chache kwa kuanza....orders zangu ni za ndani na nje ya...
3 Reactions
537 Replies
165K Views
Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba msaada wenu,ninataka kuanza safari ya ufugaji wa mbuzi wa kienyeji hawa kama dodoma white,Singida white na Isiolo. Nataka kufugia wilaya ya kilolo na sasa nataka wajuzi...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Ndugu wana JF, Naomba ushirikiano wenu, natafuta nyumba ya kuishi ambayo naweza kutumia ktk biashara ya ufugaji kuku wa nyama, mimi Nimefika mkoani hapa ni mgeni kidogo, kwa sasa nimefika mtaa wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani ndugu habarini,aam nilikuwa napenda kufahamishwa kwa kisayansi manufaa ya mkojo na kinyesi cha wanyama wa kufuga aina ya sungura.[emoji195] [emoji195] ====== Sungura ana sifa kadhaa...
1 Reactions
86 Replies
29K Views
Wadau salaam, Naomba connection kwa mtu yoyote mwenye uzoefu wa kusafirisha mifugo kutoka mkoani iringa kuja Dar hasa mbuzi na ng'ombe. Natafuta mdau wa kuchangia usafiri ili nilete mifugo...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Donors launch competitions to promote youth-led farming businesses. THE second edition of Pitch AgriHack 2022 has been launched in the Kenyan capital; Nairobi to spur growth of youth led...
1 Reactions
5 Replies
635 Views
Salama humu? nahitaji Dragon cuttings kama 1500 zinahitajika Tanga, najua Chaha anakuwa nazo sasa nimejaribu kumtafuta tangu leo asubuhi simpati anaye hitaji ni Mama ndugu yangu na ame stafu...
0 Reactions
3 Replies
637 Views
Kilimo vs ufugaji, hapa nimejifunza jambo, kilimo ni chepesi ila mafanikio yapo mbali, ufugaji ni mgumu sana ila umejaa fedha, kilimo na ufugaji kwa mikoa ya kusini ukivifanya pamoja lazima upate...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari wakubwa natumaini wazima nimeleta uzi huu mnisaidie kimawazo. Mimi ni kijana wa miaka 24 nimejaribu kuishi katika mazingira tofauti katika nchi ya Tanzania katika shughuli mbalimbali za...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Taswe.or.tz, vegrab.co.tz na wadau wengine muhimu tulipitisha mradi wa kuwawezesha wawekezaji katika mradi wa pilipili kichaa kwa 50%. Unachotakiwa ni kuchangia 4.2M/Acre kisha utaweza kupata...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Naomba kama kuna mtu anawafahamu madalali wa pilipili za mwendokasi kwa dar anijuze ili nifanye nao biashara kwa zao la pilipili mwendokasi aka Habanero
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa anaye itajii huduma ya umwagiliaji wa kisasa kufungiwa mivimo pamoja na vifaa vyake
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…