Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Nguruwe Pori ni moja ya wanyama wenye uharibifu mkubwa kwenye mazao. Ni zipi mbinu rahisi za kuwadhibiti wanyama hawa?
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Wakuu, Kambwa hako nimepewa na ndugu yangu mmoja anao wengi sana, halafu bado Kana afya nzuri sana. Naomba mnipe ushauri jinsi ya kumtunza vizuri kuanzia chakula gani ale jamaa aliniambia huwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Ninaomba taarifa juu ya biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe na Mbuzi, inapaswa niwe na mtaji angalau kiasi gani cha level ya chini kabisa kama ndiyo nataka nianze...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu nimefanya jaribio la kulima tangawizi hapa shambani kwangu,Vzimeota na kustawi vizuri shida ni kwamba hazina uchachu sababu nini nimelima Kibiti pwani japokua wazee wa zamani wanasema...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Nimeangalia documentary nyingi za kilimo kutoka Australia mpaka Brazil hata Italy, Ghana na South Africa. Kilimo kina faida baada ya uwekezaji mkubwa. Kwanza kilimo chenye faida kina anzia heka...
9 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wote mnaoelewa habar za uchimbaji wa visima, nahitaji kisima kwa ajili ya umwagiliaji shambani, Je Kisima kilichochimbwa vizur kinaweza kutoa maji kias gani kwa siku ikiwa maji yatatolewa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa hili! Ni mara yangu ya kwanza kwenye hili jukwaa hivyo naomba msaada wenu na ushirikiano wa kutosha. Mada kuu iliyonileta ni kuhusu kufanya biashara ya mchele hasa wa kutoka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mfumo huu ni umekua ni wa hovyo sijawahi kuona.Fikiria mkulima amejinyima kula vizuri,kuvaa na watoto wake lakini leo hii mkulima anakuja kumkopesha tajiri ambaye ana mali kedekede inauma sana...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wote tunajishughulisha na kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu, Ikiwa hivi ndivyo mbona hatuna maendeleo kuanzia kwa mkulima, jamii, wala taifa kwa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wajameni, Nahitaji msaada kujua aina ya miti inayokua kwa muda mfupi, yenye kivuli kizuri na show nzuri. Iwe environmental friendly, Yasiwemakazi ya wadudu. nmekua curious...
4 Reactions
129 Replies
47K Views
Kama Watanzania 75% wanategemea kilimo hivi tunategemea vijana waliozaliwa 2000 na kuendelea kutumia jembe la mkono katika kujipatia riziki? Hizo ndiyo sababu zinazofanya vijana kukimbia kilimo...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
kilimo kinachangia zaidi ya 27% ya pato la taifa. kilimo kimetoa ajira kwa zaidi ya watanzania 75%. pamoja na umuhimu huo kilimo kinachofanyika hakimnufaishi mkulima na kumfanya ajikwamue katka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu, Naomba kuuliza hivi Kuku wa kienyeji baada ya kutaga uchukua muda gani kuanza kuyalalia mayai.
0 Reactions
29 Replies
20K Views
Ndugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Habarini Wakuu, Nahitaji kupanda Zabibu miche kama 10 hivi katika eneo linalozunguka nyumba yangu. Nahitaji msaada kwa anayejua hatua kwa hatua za kupanda mpaka kuvuna.
0 Reactions
0 Replies
788 Views
"JEMBE ALIMTUPI MKULIMA" Mwaka 1972, Mwalimu Julius Nyerere akiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitangaza Azimio la Iringa lililokuwa na kauli mbiu ya ‘Siasa ni Kilimo.’ Ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
17K Views
Habarini wana jukwaa... Mbolea za kemikali na dawa za kimekali limekuwa ni tatizo kubwa linalopelekea mabaki ya hizi dawa au mbolea katika mazao hususa ni mboga za majani. Hali hii ni mbaya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naamini Mungu ni mwema. Naomba kwa heshima na taahadhima kubwa kupata ABCD za ufugaji wa samaki kwenye mabwaya ya kutengeneza man made Nina imani kubwa kuwa humu wako waatalamu wa kila...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Misingi na kanuni za kilimo bora. Neno Msingi lina maana ya mwanzo wa kufanya shughuli yeyote inayokusudiwa ili kuweza kufikia malengo. kwa hiyo katika kilimo ipo misingi muhimu ifuatayo: Kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki. Nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga.
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom