Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Kilimo cha Zabibu mkoani Dodoma kina historia ndefu, ambapo kwenye miaka ya 1950 na mwaka 1974 chini ya uzaidizi wa bihwana misheni, serikali ya Tanzania wakati huo ikishirikiana na serikali ya...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasalam wakuu, naomba kufahamishwa mwenye kujua bei ya sasa ya kilo ya giligilani kwa masoko ya Dar.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Livestock dung dehydrator is also called poultry manure dehydrator. It is used for dehydrating pig dung, cattle dung, rabbits dung, chickens dung, and large and medium-sized livestock farms to...
1 Reactions
2 Replies
640 Views
Wakuu Kwema? Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Nina malengo ya kufuga kuku wa kienyeji. Je, mahitaji yake (yaani banda la kulala,nk) yanaweza yakafika kiasi gani cha pesa? Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF Nataka nifuge samaki ila naomba msaada kwa yafuatayo 1. Naomba mnijuze kuhusu usalama wa hao samaki maana kwenye kiwanja changu sina fence 2. Nawezaje kuwalinda ili sumu isiwekwe ndani ya...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama wew ni mfugaji wa kuku na unahangaika wadudu waitwao utitiri, basi suluhu ya jambo hili jepesi isiyokuwa na gharama. Ni jivu la moto iwe la mkaa au kuni. Namna ya kutumia waweza kulimwaga...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi. Kutokana na kukua kwa kasi ya kuridhisha kwa jiji la Dodoma, kuna mahitaji yanayoongezeka kutokana na umuhimu wake kwa maisha ya binadamu ya kila siku. Uhitaji wa mboga...
6 Reactions
8 Replies
5K Views
Jaman mimi ni mwanafunzi wa SUA nimeandaa project plan ya ufugaji was nguruwe ila Sina mtaji naomba mwenye ushauri wa wadau wa maendeleo (stakeholders) ambao wanaweza kunisaidia kupata mtaji...
1 Reactions
7 Replies
926 Views
Au wameshakuwa kama kuku kwamba bila kufugwa na watu hawawezi kustawi? Karibuni kwa taarifa wajuzi!
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Hii picha ni ya mgomba uliokatwa, halafu kesho yake tu ukazaa, ni kawaida hii?
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wa ufugaji mbuzi ambao wanaotaka kujua kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania. Ili kujibu swali hili nimetengeneza video ambayo...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Naomba kujua ni wapi nitapata mbegu bora ya mbuzi wa nyama especially wanao zaa pacha tatu( triple)
3 Reactions
26 Replies
11K Views
Wadau maombeni ushauri Mbwa wangu GS dume habweki na miguu inakosa nguvu. Wenye ujuzi nisaidieni
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Jina lingine ni iroko. Ni mti wenye mbao imara ambazo pia hard wood. Unapatikana Afrika kwenye misitu ya mwambao wa bahari kutoka Benin mpaka Angola, Msumbiji Lamu Madagascar. Inasadikika miti...
3 Reactions
3 Replies
5K Views
Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!? ======== Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Kutokana na hali ya mvua mwaka huu ilikuwa sio ya kuridhisha sana kwa baadhi ya maeneo, tulitegemea kwa sisi wakulima Bei za mazao zingepanda haraka haraka, lakini hali si hali...
1 Reactions
0 Replies
873 Views
Kama kuna ambaye anajua sababu ya kufutwa kwa maonyesho ya nane nae tujuze. Maonesho haya yalikuwa ni fursa za kibiashara na sio fursa tu bali hata kuwa sehemu ya burudani kwa siku zile za...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakuu nawasalimia. Kama kichwa kinavyojieleza. Nina shida ya dawa ya kuzuia mnyauko tajwa hapo juu. Kwa anayejua ninakoweza kuipata kwa Dar es Salaam naomba nielekezwe kabla mambo hayaharibika...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hongera kwa majukumu popote ulipo! Uchumi wa Tz kwa kiasi kikubwa unategemea au umefungamana na kilimo. Kwa kumbukumbu zangu, niwie radhi kama nakosea, hakuna chaneli ya TV inayorusha...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom