Wadau naomba kujua yafuatayo katika kilimo cha nyanya mkoani Morogoro
1.Mbegu bora kwa Hali ya hewa ya Morogoro na inayozaa sana
2.Msimu mzuri wa kilima nyanya yenye soko zuri
3.Mchanganuo wa...
1. Tofauti na wanyama wengne ndio mwenye majina mengi duniani. Mimi ntataja machache tu kwenye orodha.
2. Mkuu wa meza bana hacheuwi
3. Vilevile nguruwe huyu akipata njaa akakosa chakula yeye...
Habari ndugu zangu. Nashukuru Mungu wangu kwa kuendelea kunitendea yaliyo mema siku zote.
Nina gunia nyingi ambazo zimeshavunwa zipo Morogoro za mazao tajwa hapo juu.
Nahitaji Mtu mwenye...
Mimi nipo dar es salaam Ningependa kuuliza mambo kadhaa kuhusu kuku wa kienyeji na upatikanaji wake kwa mkoa wa singida kwasababu nmesikia wanapatikana huko kwa bei nzuri.
Ila pia hata ikitokea...
Wakuu mimi ni mtaalamu na mjasiliamali wa biashara za kimtandao ,Watu wengi wamefaidika na biashara hii unachotakiwa kufanya ni kuwa na blog au website na mimi nitakufungulia account ya google...
Anaandika Dr Christopher Cyrilo
Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji...
Wajasilimali wenzangu msije mkasema sijawaambia,iko hivi kama una shamba karibu na Dar,maana ya Mkuranga, Bagamoyo nk fikiria mradi huu unalipa.Nimeiba idea hii kwa jirani yangu kupitia meneja...
Uchumi wa viwanda unakuja baada ya kupitia hatua kadhaa wa kadha,uchumi wa viwanda unajengwa kuanzia kwenye mitaala na sera,sera ya elimu zinazohakisi uhalisia wa teknologia ya viwanda.
Itakuwa...
Mimi Ni mtumiaji na muagizaji mzuri wa bidhaa mtandaoni kupitia makumpuni mbalimbali kama Alibaba, AliExpress, Amazon, Rakuten na Kikuu.
Nataka niagize mayai na vifaranga wa Mbuni online.. kwa...
Mambo vipi wadau wa maendeleo, natumai wote Ni wazima wa afya Kama kati yetu kuna mgonjwa naomba Mungu akupe wepes Mambo yawe vizuri.
I hope Kila mtu anajua kilimo ndo uti wa mgongo kwa uchumi wa...
Ni mzoefu katika ufugaji.
Lakini kitu kinachonipa wasiwasi ni kwamba nina jogoo wangu mkubwa tu wa miaka kama miwili hivi. Sasa tangu juzi sauti yake inanipa mashaka anapowika.
Ni kama vile...
1 Teknolojia bora ya kudhibiti saizi ya chembe ya kulisha
Matokeo mengi ya utafiti nyumbani na nje ya nchi yanaonyesha kuwa wanyama wa uzao maalum na hatua maalum ya kulisha wana saizi bora ya...
Habari zenu wakuu. Kwanza kabisa ningependa kumshukuru mungu wangu aliye nipa uhai na afya njema mpaka sasa pia ningependa niende moja kwa moja kwenye mada.
Nazi ni kiungo kimoja wapo kinacho...
Wataalamu,
Mimi ni mgeni katika kulima nataka kuanza kulima na hasa ni kilimo Cha mapapai, pilipili mbuz au kichaa na maparachichi! Naombeni mawazo je Niko sahihi kama nitapata soko? Je...
biashara ya duka la pembejeo ili kuanza lazma uwe na vigezo gani na mtaji wa shingapi wa chini kabsa pamoja na faida zake kwa yeyote mwenye ufahamu na hili naomba kujua kutoka kwako
Nimesikia kuna aina mpya za migomba ambayo huzaa mikungu miwili katika mgomba mmoja, kama kuna yeyote mwenye ufahamu juu ya hili anijulishe, inaitwaje na ni wapi naweza kupata miche yake.
Sent...
Habari Wana JF naomba kuuliza Kama ifuatavyo
1. Kilimo Cha UFUTA mbeya kinalimwa wilaya gani
2. Masoko baada ya kuvuna yanapatikanaje hapo wilayani
3. Mtaji wake kuanzia kukodi shamba,kulima na...
Kitalu ni sehemu ya maandalizi ya mimea au kiumbe kabla ya kuanza kujitegemea.
Inawezekana kuwa hili neno limetokana na kilatini cha "Seminarium" ikiwa ni mahala pa kukuza vijana kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.