Habari zenu wafugaji wenzangu,
Mimi kama mdau wa kilimo na ufugaji. Napenda kuwashirikisha jambo moja muhimu sana, pale unapoingia kwenye Tasnia ya ufugaji na kilimo jua kama biashara yoyote ile...
Habari,
Nina dhumuni na nia thabiti kujiingiza kwenye kilimo biashara! Bado ni mgeni kwenye hii sekta, kwa haraka nimepata wazo la kulima Matikiti Maji.
Je, ni zao sahihi na lenye faida kwa...
Jinsi ya Kulima matikiti maji
Matikiti maji hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la wastani. Zao hili lina wapatia watu shughuli za kufanya na hivyo...
Wadau habarini,
Naombaen ushaur kwa wazoefu wa kilimo cha VITUNGUU MAJI.Nimeshaanza mradi wa kulima hili zao,ndoto yangu ni kulima Ekari 3.
Ila hofu yangu ni uhakika wa SOKO,kwa muda ntakaokuja...
Mkuu wa wilaya ya Arumeru , Jerry C. Muro ametumia saa 18 kusambaratisha mtandao wa wizi wa ng’ombe za wananchi majumbani ambapo mpaka sasa watuhumiwa 5 sugu wa wizi wa ng’ombe tayari wako...
Utafiti mpya unasema wadudu, minyoo, mimea vamizi ya magugu,zinagharimu Afrika zaidi ya $ 3.5tn (£ 2.5tn) kila mwaka.
Watafiti walio Ghana, Kenya, Uingereza na Uswizi wameelezea athari mbaya za...
Wakuu kwema? Baada ya kijikita kwenye kilimo huku mkoani Mwanza,nimeona fursa ya kilimo cha alizeti kwani uhitaji wa mafuta ni mkubwa sana kwa mfano Lita 20 ya mafuta ya pamba inauzwa hadi elfu...
Naomba kufahamishwa kuhusu tabia hii ya kuku wa kienyeji
Nina kuku wangu wa kienyeji pure ametaga kafikisha mayai 10 na ndio mtago wake wa kwanza lakin ameanza tabia ambayo sijaielewa ikifika jion...
Salaam Sana wakuu.
Naomba kujua Kama Kuna kampuni inatengeneza chakula Cha ngombe kwa ajili ya kuongeza kiwango Cha chakula Kama kilivyo Cha kuku broiler
Au wewe mdau unatumia mbinu gani ?
Habari wakuu.
Naomba kwa mwenye ujuzi jinsi ya kufuga samaki niiyemtaja anipe mwongozo. Pia Kama Kuna mwenye vifaranga vyake tafadhali.
Natanguliza shukrani za dhati.
Habarini wana jamvi nahitaji kufanya biashara ya utengenezaji wa soseji kwa mkoani na kuwa mfanyabiashara wa jumla na rejareja plus nembo ya kwangu.
nahitaji kujua mahitaji ya msingi na gharama ya...
Msimu wa zabibu Sasa umewadia kutoka makao makuu ya nchi Dodoma.Jipatie zabibu kwa Bei nafuu kutoka Dodoma.
Kwa mahitaji ya zabibu kwa ajiri ya biashara tupigie kwa namba 0716175081 Dar es...
Waungwana...
Natumaini Mungu anazidi kutupigania kila siku, na maisha yanasonga.. Niende kwenye mada.. 👇
Ninaomba mwenye kufahamu anisaidie maarifa nitoe tongotongo... maana tunatofautiana...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na uhamasishaji mkubwa sana juu ya kilimo cha vanilla hapa nchini Tanzania, wahamasishaji wanadai kuwa zao la vanilla ni zao lenye faida na lina utajiri mkubwa sana...
Jamani nimefuatilia sana posts kadha wa kadha kuhusu mashine za kutotolesha vifaranga humu JF na pia kupitia mitandao mingine ya kijamii. Nimegundua kuna nadharia tofauti tofauti kiasi kwamba mtu...
MUHTASARI
Kulingana na Kituo cha Utafiti wa Udongo cha Mlingano cha mkoani Tanga chini ya Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Tanzania ina jumla ya Kanda Kuu saba (7) za Kiutafiti wa Kilimo. Ndani...
Wazee kamwene, jamani mwennu nina ushamba wa matumizi ya hizi mashine za kuangulia mayai, lakini napenda kweli kufuga kuku na mpaka sasa ninao kama hamsini, sasa nikapenda nipige hatua kidogo kwa...
KAMPUNI zinazo nunua zao la mwani kisiwani Pemba zimelalamikiwa na wakulima wa zao hilo wakidai zinanunua mwani kwa ubaguzi hali inayosababisha mwani kurundikana majumbani kwa kukosa soko.
Hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.