Wakuu habarini
Nimenunua eneo kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe , kuku na mbuzi. Tayari nimeshajenga banda la nguruwe kwa kutumia matofali ya kuchoma yaliyojengwa na cement na kuezeka kwa mabati...
Kutokana na uchache wa ajira uliopo nchi kwetu, nilitamani sana kupata partner ambae nitashirikiana nae kwenye ufugaji wa Samaki kwa kutumia vizimba, kitu pekee nlichonacho kama mtaji ni taluma ya...
Habari zenu,
Naombeni msaada ,Ni njia gani za kufanya ili niweze kufuga KANGA kwenye banda la kuku ??
Na nitarajie changamoto gani na ninazikabili vipi ??
Wadau karibuni kwa majibu.....
Wa ndugu,
Kati ya samaki wenye mpaka soko la nje ni dagaa na ufugaji wenye uhakika wa soko. Naona watu wanafuga sato na kambale na wale samaki wa mapambo ila bado sijaona wanao fuga dagaa...
SULUHISHO LA KUKU KUPUNGUZA KUTAGA
1. Wakague kuku wako na ukiwakuta wana utitiri au viroboto waogeshe kwa FIPROFARM AU TUMIA AKHERI POWDER
2. waongezee GLP katika chakula chao na Tumia LAYVITA...
@farmersdesk_tanzania
KABLA UJANZA KUFUGA KUKU TAMBUA MBEGU BORA YA KUFUGA🐓
MBEGU BORA YA KUKU
KABLA hujaanzisha mradi wa ufugaji kuku, ni lazima utafute aina ya mbegu bora itakayo kuongezea...
Habari wafugaji!!watu wengi wameuliza kuhusu tatizo la kuku kukudoana.kuku kudonoana husababishwa na vitu vingi sana kwa uchache kwa kuvitaja ni hivi.
1. Kuku kubanana au banda kua dogo...
MADHARA YA KUCHANGANYA KUKU WASIO LINGANA UMRI
.............................................
Kuchanganya kuku wasio lingana umuri kuanzia siku 30 za mwanzo ni kudumaza kuku hao na kuwafanya...
HATUA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA MRADI WA KUKU:
👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba waanzaje mradi wa kuku
👇Zifuatazo ni hatua sahihi...
* MATUMIZI YA CHANJO KWA KUKU*
👉Kwanza Kabisa ifahamike chanjo Kwa kuku sio chaguo ni lazima kwa usalama wa KUKU wako
👉Pia kuchanja kuku sio Kwa vile unavojiskia Ila Kwa Ratiba maalumu...
Ukijaribu kutembea watu wengi utakuta wana mabanda ambayo yanaonekana yalisha wahi kutumiwa kwa ajili ya kulaza kuku.
Wengi unakuta wamebadili matumizi au wameyaacha yako tu yamekaa na hadinsasa...
Habarini wana Jamvi,
Mimi ni mfugaji.
Nataka kuanzisha mpango kutengeneza chakula cha mifugo (kuku) cha kwangu mwenyewe; niachane na kununuwa.
Hivyo nataka mchango wa ushauri:
Ni mashine ipi...
Habar zenu,
Nmeleta ufugaji huu wenye tija katika kupata hela ya haraka.
Panya anamatumizi mengi sana
1.scientific reseach, Ambapo chuo kama sua kuna kitengo maalum kuwatrain panya hivyò hapa...
Linapokuja suala la kilimo cha umwagiliaji, kuna mbinu nyingi hutumika. Leo naomba kushea nanyi drip irrigation. Sasa ili maji yasambae shambani yanatakiwa yawe na pressure nziri. Watu wengine...
Habari wadau, naomba msaada wa tiba kwa vifaranga wangu (SASSO) ambao kesho watatimiza mwezi tangu niwachukue.
Mwanzoni walikuwa wanaendelea vizuri lakini baada ya wiki mbili walianza...
Habari wanajamvi.
Mimi ni mkulima wa maharage ila changamoto kubwa sana ninayokutana nayo ni uharibifu mkubwa unaofanywa na ndege wanaoshabulia majani ya mimea wakati ikiwa michanga.
Hawa ndege...
Habari za wakati huu wanajamvi,
Kutokana na kasi ya muheshimiwa mkuu wa nchi sasa naona mji wa Dar haunifai tena nataka kwenda kujishughurisha rasmi kwenye kilimo moja kwa moja.
Sasa nina...
Kama kichwa kinavyojieleza, nimelima shamba la mahindi kama ekari mbili maeneo ya Mufindi Iringa , mahindi yako kwenye hatua ya kuanza kuchanua.
Sasa Leo nimeenda kuangalia nimekuta jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.