Mimi ni mkazi wa iringa. Nina mpango wakufuga kuku wa kienyeji lakini nahitaji kufahamu ukuaji wake, yani huchukuwa mda gani kwanzia kifaranga.
Pia kama upo Iringa mjini na unakuku njoo DM...
Habari wapendwa wa mungu! Mimi nikijana niko Bariadi nataka kufanya biashara ya maharage sasa waungwana naomba kufahamishwa palipo na maharage kwa wingi na yanauzwaje?
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea.
Hivyo...
Habari wadau wenzangu katika kilimo.
Napenda kuwapongeza A to Z kwa juhudi zao za kuinua kilimo nchini kwa uzalishaji wa bidhaa za kilimo hapa nchini.
Binafsi nimefurahiswa na hawa jamaa kwa...
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishughudia wakulima wengi wa greenhouse wakipata hasara au kutokupata mavuno bora kama walivyotegemea, kuendelea kutumia madawa ya kuuwa wadudu kwa kiasi kikubwa kama...
Kwa mahitaji ya kilimo cha kisasa na matokeo yaliyo bora. Yanapatikana kwenye mfumo wa kilimo cha umwagiliaji cha grrenhouse
Kwa mahitaji ya greenhouse
Call Us; 0623646674
Email;mooyasin97@gmail.com
Anatoa mapovu machoni, dawa yake nini ipi? Pia kuna kuku wanatagia sehemu moja unawatenganisha vipi ili kila kuku atagie sehemu yake.
NB: Wanaishi banda moja
Nipo nyanda za Juu kusini (southern Highlands), nahitaji kulima mali mbichi kwa umwagiliaji wa drip mara baada ya msimu wa kuvuna mahindi ambayo yapo shambani kwa sasa.
Naomba ushauri nipige zao...
Kama picha inavyojieleza yenyewe, hao jamaa wanawaingiza vifaranga wa samaki bwawani, ila naona nyaya kama za umeme zimetoka kwenye switch zikaingia bwawani na kuna kichwa kikubwa tu sijui nawaza...
Shayiri nijamii flan iv ya ngano ambayo hutumika sana kutengenezea Pombe, zao hili lina uhitaji mkubwa sana apa nchini kwetu hasa kwa viwanda vya bia kama vile TBL and SBL, naomba mwenye uzoefu...
Katika kuhakikisha lengo la kuongeza uzalishaji wa mazao bora ya Viungo, Mboga na Matunda yenye kuzingatia matumizi madogo ya pembejeo za kemikali, wataalam wa kili mo kupitia mradi wa Viungo...
Habari za majukumu ndugu zangu. Ninatafuta suluhisho la kudumu la miti midogo yenye miiba shambani. Hii mimea imekuwa kero kubwa kwangu kwani kila nikipanda shamba, hiyo miiba huchipua.
Hata...
Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze au Kibaha.
Bei 7000 hadi 7300 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray kuanzia 200 na kuendelea, mawasiliano 0625602775...
Kilimo cha kahawa kina faida kubwa kwani mavuno yake unalipwa kwa dola.
Kwa mfano ekari moja ambayo unapanda Miche 800 na mche mmoja kununua na kuupanda gharama yake Tshs 500.
kwa Miche 800 sawa...
Kulingana na bei ya mizinga ya kisasa kuwa ya gharama ya chini hapa Tanzania, nimeona bora ni-import toka China moja kwa moja.
Kupitia Alibaba nimeona mizinga ya "Langstroths" ambayo ni bora kwa...
habari wanajamvi,
Nataka kujua kama naweza kupanda maharage na mahindi kwa pamoja ndani ya shamba moja. Yaani kwa mfano, hapa nimepanda mhuindi na apa maharage sehemu moja aiwezi kuleta shida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.