Hawa bata ni wa ukoo mmoja na ndo Mara ya kwanza wao kutaga ila tatizo wanataga wote sehemu moja.
Nimejaribu kumtenga mmoja kwa kumfunika, na kila nikimfunika sehemu tofauti hatagi hiyo sehemu...
Asalaam wanaJf, muda mrefu nimekuwa na wazo la kuanzisha mradi unaohusiana na nafaka. Kwa sasa wazo lililotawala kichwa changu ni kununua mashine inayotumia umeme ya kukoboa na kusaga nafaka...
UFUGAJI WA KONOKONO TANZANIA
Nchini Tanzania ufugaji wa konokono ni biashara iliyosahaulika kwa kiasi kikubwa sana,watanzania wengi bado wanaamini zao hili haliwezekani kufugwa na upatikanaji...
Habari wadau
Yeyote mwenye utalaamu na solar pumps nzuri nitafute online please. Kampuni au nchi gani wanauza submersible pumps nzuri ambazo zinatumia solar power.
Shukrani
Wadau nalima tikiti maji kanda ya ziwa, ziwani kabisa.
Nategemea kiwe cha umwagiliaji heka tatu. Changamoto iliyopo namwagiliaje? Water pump ya kawaida naona itakuwa kazi sana.
Nimewaza ile ya...
Habari wana Jf,
Ninaomba kujua ni mbolea ipi hasa inayofaa kwa mikoa yote na kwa mazao ya aina yoyote ile. Pia ni misimu gani ya kilimo ambayo inafaa kwa anayetaka kuuza mbolea?
Ahsanteni
Na: Norbert Mporoto
– Tanzania.
Uchumi wa taifa la Tanzania umekuwa ukipigiwa chapuo na kupewa tafsiri nyingi ambazo hazivuki mipaka ya kukitambua kilimo kama sekta adhimu ambayo ndiyo uti wa...
Moja ya mambo yanachanganya na kuvuruga watu hasa wakulima nchini Tanzania ni taarifa yaani mnyororo wote umeathiriwa hapa na upungufu wa vyanzo vya taarifa rasmi au taarifa zisizo rasmi ambazo...
Muhogo uliokuwa ukiozea mshambani na kukosa soko la uhakika wilayani Mkuranga na maeneo mengine mkoani Pwani ,sasa unakwenda kupata soko la uhakika katika kiwanda cha kuchakata mhogo kilichopo...
Je, utaratibu ukoje?
Je, wafugaji wa wanyama wengine vipi?
Kusajili ni vizuri ila uwekwe utaratibu kwa mifugo yote wafugaji wasajiliwe kuwe na database na sio wafuga kuku wa nyama na mayai. Kuna...
Jamani dunia inamajaribu kila ukijaribu kujikwamua kinaibuka kikwazo ufeli, Kunguru wanafukua mahindi yanayoanza kuota, wamekula shamba zima.
Mwaka Jana panya walikagua kula mstari na kula...
Wakuu salamu za asubuhi
Naomba mnitoe tongotongo, huu ni ugonjwa gani kwa kuku na dawa yake ni nini?
Kuku anakuwa kama amepaniki, anaangalia juu na mara chini, anazungukazunguka, anarudi...
Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima Kilimo cha Mapapai. Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation.
Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila...
Habari wanajamvi nimeona tangazo kutoka BODI YA MKONGE TANZANIA wakitoa taarifa ya kuwa wanakodisha mashamba ya MKONGE Kwa wanachi wanaohitaji.
TANGAZO LA KUKARIBISHA MAOMBI YA MASHAMBA YA KULIMA...
Wale wakulima wa mbegu za vitunguu (baruti) wauzaji pamoja na wanunuzi tukutane hapa.
Nadhani hii itakuwa ni sehemu sahihi kabisa ambayo itamrahisishia mkulima kujifunza na kutoa uzoefu wake...
Kila kona Mbwa… mbwa… Mbwa dili sana!
Bila laki 4 au 5 hupati mbwa mzuri aliyenona na mwenye sura nzuri. Mpaka laki 7 unanunua mbwa tena kijibwa tu aisee! Wa kijerumani na France ndo ghali mno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.