Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari zenu, nina shida, kuna migomba kila nikikata inachipua. Nifanyeje ili isichipue tena?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF Habari za mapumziko ya sikukuu ya X-mas. Leo nina jambo nataka uliza. Nimepata fununu kuwa katika kipindi cha hivi karibuni biashara ya mayai ya Kanga imekuwa nzuri sana kwani yai...
3 Reactions
110 Replies
71K Views
Habari za muda huu wakuu. Naomba msaada wa kujua wanakupatikana Ng'ombe bora wa maziwa. Zaidi kwa mamahitaji ya ng'ombe mwenye mimba ambae hatachukua muda mrefu kuzaa. Nitaomba kujua 1. Aina na...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wana jf, naomba mwenye ufaham wa namna ya kusindika nyanya kuwa tomato souce na pilipili kuwa chillsouce, pia vifaa kama mashine na vichanganywa pia gharama zake, nataka nii-ingize ktk...
0 Reactions
30 Replies
22K Views
Hawa croiler tunaambiwa wanakaribiana na kuku wa kienyeji tofauti na broiler ambao ni pure kuku wa kisasa. Ukifuatilia utagundua tofauti yao inatokana na jinsi wanavyozalishwa(cross breeding) ila...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Naulizia ni dawa gani naweza kutumia baadaya kupruni miti ya matunda kupaka au kuspray sehemu niliyoikata lengo likiwa ni kuzuia wadudu au magonjwa yanayoweza kupitia sehemu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu ni ugonjwa gani..kuku anakua kazubaa na akisinzia kuna mda kichwa kinageuka kama hivo..hizo dalili amekaa nazo kwa siku 2-3 hivi Kinyesi chake ni cha njano chenye maji mengi picha ipo hapo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Iliobaki ni kudanganyana na kuibiana yaani hakuna faida hata ya kuwa na waziri wa kilimo,wa nini? hana jipya wala uwezo wa kutufanyia lolote, kama ni mbio tumeshapitwa na tumeshachoka utampitaje...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajumbe natumaini hamjambo. Naomba kwa yeyote anayejua namna ya kupata mbegu nzuri ya migomba kwa maeneo ya karibu ndani ya jiji hili la DAR Mahitaji yangu sio makubwa kama 100...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Wadau ni kwamba vijana tuchangamke utajiri upo lakini unahitaji mipango. Binamu yangu wiki iliyopita mwezi huu Desemba 2020 ameuza miti yake ya mitiki ambayo aliipanda sio kwa lengo la biashara na...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu wadau wa kilimo biashara. Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mdau wa kilimo cha mahindi na naomba kujua namna ya kupata maghala ya kuhifadhia mahindi kuanzia tani...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Anaejua mbegu zinapopatkana au miche Pia hata alie lima kama anauza matunda Nataka kujumua..kwa Mbeya wap zinapatikana
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Hivi hapa Bongo kuna watu wanao lima haya mafraisha kama kilimo biashara?
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau kwema Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu?. Hope tunajiandaa vema na sikukuu ya pasaka pia hongereni kwa mapumziko mareeeefu!. OK nirudi kwenye kitu kilichonileta hapa kwenu nyie wadau na wataalam wa fani mbalimbali mliopo...
3 Reactions
104 Replies
26K Views
Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji shamba la kukodi, kwa mikoa inayopakana na Dar. Shamba lisipungue Ekari tano; liwe karibu na chanzo cha kudumu cha maji, ( maji yawe...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka kwenda kuwekeza kwenye kilimo cha mahindi na mpunga huko Msowero. Swali langu je, nitapata mazao ya kutosha kwa eneo hilo yaani hali ya hewa na rutuba...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari zenu humu ndani. Kutokana na changamoto za ufugaji wa hawa bata wadogo na matokeo ya vifo vya mara kwa mara, kuna kitu nahitaji kufahamu. Je ni muda gani ambao hawa vifaranga wa bata...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF. Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kama kuna mbegu za muda mfupi za haya matunda ya stafeli na fenesi. Pia naomba kujua matunda haya huchukua muda gani tangu kuoteshwa...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Mnyauko Fusari kwenye zao la nyanya. Mnyauko Fusari (Fusarium Wilt) ni ugonjwa kwenye zao la nyanya, ugonjwa huu pia unaweza kushambulia mazao mengine kama viazi, pilipili, mbilingani, kunde...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom