Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Ni wachache mno, wengi wao ni mkumbo tu na kufuata upepo wa fasheni. Elewa hakuna kitu kwa ajili ya kila mtu, chagua chako na ukubali. Kama ilivyo kwa wanaume, sio wote watavaa pensi. Sketi na...
20 Reactions
104 Replies
12K Views
Habari, Leo katika urembo tunakuletea namna ya kufanya scrub kwa kutumia chumvi na maji ya baridi na kuonekana wa kisasa zaidi. Utumiaji huu ni wa salama zaidi na watumiaji wamethibitisha swala...
4 Reactions
40 Replies
76K Views
Wananzengo salama? Nahitaji dawa ya kuongeza ndevu pamoja na mvi za kichwani na kwenye ndevu Nina mvi chache kwenye ndevu na nyingine kichwani so nahitaji ndevu zote ziwe nyweupe na kichwani pia...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hebu wazoefu mnasemaje kuhusu hivi vipete vya kwenye miguu maana wadada wanavipenda kuvivaa... Ni kweli vina tafsiri ama ni urembo tu? Hahaha Msiniseme lakini...
1 Reactions
49 Replies
19K Views
Salam kwenu wapendwa. Karibu sana kwenye page yetu ya Zoe Closet Tz, kwa kweli hili swali huwa najiuliza mara zote na sijawahi pata jibu, mafundi wa nguo shida inakuwaga nini? Ofisi yetu inadeal...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya mambo wakati mwingine yanashangaza sana ! ngoja tuilete kwenu muithaminishe
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tangu kim karadashian alivyoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kiuno chembamba sana sababu ya kuvaa waist training belt, basi ndio imkeua fasheni kubwa duniani kote kwa ujumla. watu maarufu...
8 Reactions
63 Replies
21K Views
Jamani naiulizia lotion ya Jambo ambayo ilikuwa maarufu miaka ya 2000. Niliitumia na niliikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini bahati mbaya sijaitia machoni siku nyingi. Je, bado ipo na inapatikana wapi?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ipi lotion ya kiume inafaa kwa men?isiwe inachubua na iwe inasoftisha tu ngozi Na pia nataka ya kung'arisha kwa ajili ya demu wangu aka wife mtarajiwa
0 Reactions
43 Replies
42K Views
Salutations kwenu! Nipo Iringa wakuu baridi ni kali sana. Tangu nifike nimeona ngozi yangu ikiharibika sana sana. Hapo kabla ya kuja Iringa, nilikuwa naishi Pwani. Nilikuwa sipaki mafuta na...
1 Reactions
72 Replies
24K Views
Habarini za leo marafiki. Ndugu zangu mwenzangu ana tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka. Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
3 Reactions
17 Replies
9K Views
Mambo vipi wakuu? Natumaini mko poa. Wakuu mimi ni mdau wa mazoezi ya kujenga mwili japo Sina hela ya kwenda Gym huwa najipigia push up zangu mwenyewe tu, hata hivyo sipo interested Saana na...
3 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari za muda huu, naomba kujua njia za kusafisha sinki langu, nmetumia Aro imegoma, nimetumia sabuni zaidi ya 3, nimetumia cocacola imegoma. CHANZO: Manjano ya uso yalimwagika sehemu ya sinki...
1 Reactions
10 Replies
16K Views
Wadau, mimi nishachoka sasa kuishi bila kaunyuyu kidogo. Nina kahela kangu hapa hakazidi 25k naomba mnifahamishe pafyum nzuri ya ki-gentleman ambayo hata nikikaa na mtoto mzuri awish kuchill na...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Mama anapendeza, huyo anayemtafutia nguo, anayemchagulia za kuvaa, anatakiwa apewe tuzo. Jana tu Kenya kaonekana amebadilisha nguo karibia mara tano siku moja, nafikiri ni kwasababu ya COVID 19...
3 Reactions
55 Replies
8K Views
Nahitaji kujua pafyumu zingine zinazoizidi ubora na uromantic wa hii kuruthumu. Binafsi siifahamu sijawahi kutumia naomba uzoefu toka kwenu wazee wa baraza.
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Habari za Jumatatu WanaJamiiForums hope mpo poa. Sasa basi nisiwachoshe kuna pasi yangu hapa nyumbani naona inataka kuniharibia nguo zangu ina uchafu mweusi kwa chini ni mgumu sana kutoka...
2 Reactions
41 Replies
9K Views
Madaktari waeleza umuhimu wa nywele sehemu za siri Dar es Salaam. Wataalamu wa afya nchini Tanzania wamesema nywele sehemu za siri hazitakiwi kuondolewa kutokana na umuhimu wake hasa kuzuia...
11 Reactions
128 Replies
13K Views
Alipojifungua alijitahidi kufunga mkanda wa kubana tumbo mpaka tumbo limekaa sawa. Sasa tatizo yale mamikunjo kunjo hivi wa dada aka wamama mnaitoaje ile? Kuna kipindi alijaribu kupaka mafuta...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…