Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Urembo kwa wanawake ni jambo lisiloepukika na inahitaji gharama kwa mwanamke kujiweka katika hali ya utanashati ili kuwa presentable na kuleta mvuto wa kimapenzi kwa wanaume. Hapa chini...
19 Reactions
152 Replies
54K Views
Habari za jioni JF Doctor, Mimi ni tatizo moja, nikihisi harufu kali ya perfume huwa naumwa kichwa. Je ni kawaida au nitakuwa nina tatizo la allergy?? Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
habari wana JF kuna jambo huwa linanitatiza. unakuta mtu anajipulizia perfume kali kupitiliza, akiingia ofisini watu mnaanza kupiga chafya. akiingia kwenye daladala, basi ukishuka tayari una...
1 Reactions
85 Replies
9K Views
Haijalishi kama umependeza au umechukisha. Hii ndio raha ya mitindo huru.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Yaani hii mitindo ya nywele, loo !
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Jamani ya bidi kuwa makini maana kwa sasa wanaume na wavulana wengi wanapaka na kujipuriza lotion na perfume za kike bila aibu mitaani akipita kama hujamwangalia utahisi kuwa ni mwanamke kumbe...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Katika kufanya kazi tunakutana na matukio yanayo gusa moyo na hili tukio ni moja wapo. THE PERFUME As she stood in front of her primary 5 class on the very first day of school, she told the...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale waliobahatika kuona fashion parade ya Vida Mahimbo iliyofanyika Movenpick mwezi uliopita October 09, sasa mnaweza kujipatia nguo zenu za kiwango/ubora wa hali ya juu kama linavyosema...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom