Chanel ya Mbc1 imetangaza kuwa imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini :-
Iraq, Bahrein na Saudia, vilevile ktika mji wa Alain (U.A.E), na Bremi nchini Oman.
Watu 8 nchini Iraq...
Kuna wengi hawajui umuhimu wa kucha kwenye mapenzi hasa kipindi cha kuamsha popo! Hivyo basi huziachia tu na uchafu wake au na marangi ya ajabu ajabu.
Kucha zinaleta msisimko na hamu hasa...
Habari kwenu,
Mwanamke mrembo wa kiafrika ana hali ya kujikubali na kujiamini hivyo ataepuka kuweka vitu vifuatavyo kwenye mwili wake:
1. Mawigi (Nywele bandia)
Mwanamke anapoweka mawigi anakuwa...
Nilihudhuria msiba na hatimaye mazishi kwa kweli wanawake ktk msiba hiwa wanavaa kiheshimu mpaka inapendeza ila wakitoka hapo ni full majanga hivi kwann msivae ivo siku zote?
Kweli baadhi ya wanawake mna tabu,sasa mkorogo gani huu unakuwa kama jini?
Wadau naomba mnisaidie kuhusu huyu mwanamke aliyevaa skin nyekundu, Kapendeza?
Huyo kulia ni mke wa mkubwa Fella (TMK...
Kule kwenye Jukwaa la Siasa kulikuwa na mashindano ya urembo wa wabunge wetu wa viti maalum. Thread ikafungwa kabla hajapatikana mshindi, lakini mimi moyo wangu ukawa umemdondokea huyu!! Hivi...
Hey,
Naomba leo tujuzane ni mahali gani hua unanunulia mavazi yako, yani nguo za aina zote, viatu, n.k , ki ukweli nikiwa ninataka kutoka jambo linaloniumiza kichwa ni mavazi...
Wewe ni msichana mrembo ama kaka mzuri,una meno mazuri,muonekano wa meno yako unakupa uhuru mpana wa kusmile na hata kuangua kicheko,beautiful teeth adds attraction and makes you complete,kwa nini...
Who knew that being a convicted murderer could land you the esteemed title of Miss Jail, an award doled out by the Racife, Brazil womens prison? The yearly contest is based on beauty, knowledge...
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo...
Imepatwa kusemwa kuwa kama kuvaa nguo zinazoonesha mwili au zisizositiri mwili ipasavyo ndio usasa (modernity) basi wanyama ni wasasa zaidi! Mavazi yanasema mengi...
Wanaukumbi.
Ama kweli hujafa hujaumbika, mrembo Khadija Omar, mkazi wa Kigogo, Dar amepata pigo kufuatia kupofuka macho alipokuwa akiwekwa nyusi bandia katika saluni moja iliyopo maeneo hayo...
Hili pozi lao ukichanganya na nguo walizovaa inakuwa mtafaaruku kidogo jamani. Wadada hawa wakipozi tayari kupata picha ndani ya kiwanja fulani cha burudani. jamani wadada tujiheshimu basi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.