unawezaje kuwa mwanaume mwenye roho ngumu hata wanapokatisha wasichana wazuri na warembo mbele yako?
huu umekuwa mtihani mkubwa kwangu hasa ukizingatia kuwa kwa sasa wasichana warembo wamejaa...
MWANAMITINDO wa Bongo aliyepo nyuma ya nondo huko Macau, Hong Kong nchini China akitumikia kifungo cha miaka sita baada ya kukutwa na hatia ya kubeba madawa ya kulevya ' unga', Jacqueline...
Ugunduzi huu utaondoa yale masimango tunayoyapata wanawake pale tunaosuka rasta (Hair Extention) au kuweka weave.
Ni kwamba hivi karibuni watafiti katika mji mpya unaojengwa huko nchini Misri wa...
Huwa nikipishana na baadhi ya wanawake nywele zao hutoa harufu kali.
Hujiuliza, kitandani mnalalaje na waume zenu?
Hii haichangii mwanaume kuchepuka kweli?
Kauli ya Utani ya karueche kuhusu nywele za mtoto Blue Ivy haijatulia. Kwa wazazi na kwa mtoto kama yule.
Hiii hapa chini kauli ya Karueche:
"I really did wake up like this because my parents...
Habarini wana JF
Hapaleo ninashida ya kuongelea jambo moja.
Leo nipo ofisini kaja mdada mmoja nguo aliyovaa daah imeniacha bumbuaz yaani imemchora hadi .
Unaiona ilivyo sasa huu ndio...
Naombeni kuuliza kama wale wanaotengeneza mafuta ya nywele kama walilenga nywele za kichwani tu au kama kutakuwa na madhara yoyote ni kipaka mafuta ya ywele kwenye nywele nyingine ambazo sio za...
Wana jamiiforums,
Mimi nina tatizo la kuota mba kichwani. Yani nywele zangu nimejitahidi kupaka mafuta tofauti lakini mba hawaishi,nimebadili sabuni za ngozi lakini wapi....Nikafikiri ni...
NANI ASIYE PENDA KUMVUTIA MPENZI WAKE? hakika hayupo leo naandika juu ya mavazi yanayoitwa ya heshima na kupigiwa upatu sana haya mavazi yanapoendelea kuwa mavazi rasmi kwa wanawake hata ndani ya...
Hamjambo wakuu?
Nimekuwa nikipitia fb wall mbalimbali za watu kuona kama kuna kipya, kilichonishangaza ni hizi siku chache tangu kuanza kwa mfungo wa mwezi wa ramadhani baada ya kuona watu...
Tukiwa tunaelekea katika sikukuu ya iddi-el-fitri wachunguzi wa mambo ya mavazi katika maduka mbalimbali ya nguo wamebaini kupanda kwa bei za nguo hasa katika maduka yauzayo nguo za watoto...
KWA UFUPI
Hata hivyo, wataalamu wa afya wanadai kuwa dawa hizo zinasababisha uvimbe kwenye kizazi kutokana na kemikali za dawa hizo ambazo huingia mwilini kupitia majeraha au ngozi wakati wa...
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona...
Jamani nguo za ndani ni muhimu sana. Kwa mdada unapaswa kuwa safi muda wote usifikiri kwamba hakuna atakaye kuja kuona ndani umevaa nini, ya dunia mengi ipo siku usiyojua unaweza ukaumwa ghafla...
Ndugu zangu historia inaonyesha kuwa hapo awali kabla mkoloni hajaja africa,waafrika tulivaa magome ya miti tena tukufunika sehemu fulani fulani tu za mwili na pengine baadhi ya jamii waliishi...
Habari kwenu,
Mashindano ya urembo Tanzania wanashiriki vimbaumbau, mashindano ya urembo Duniani wanashiriki vimbaumbau!Nani kawadanganya vimbaumbau ndio warembo?
Hali hii imepelekea hata dada...
Habarini??
Natumaini mu wazima, Leo ngoja tujadili kidogo steaming asilia ambayo unaitengeneza mwenyewe na kuboresha afya na muonekano Wa nywele zako
Mahitaji;-
parachichi
yai la kuku Wa...
Giligiliani (majani)
Giligiliani ni kiungo cha kawaida sana,wengi tunakitumia jikoni kwenye mapishi mbalimbali, Kinaharufu nzuri na ladha ya uchachu kwa mbali. Majani na mbegu za giligiliani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.