Wakuu,
Natafuta duka wanalouza miwani za urembo kwa bei ya jumla hapo kariakoo.Kwa anaefahamu tafadhali anifahamishe
na mawasiliano yao kama yapo tafadhali.
Nchi nyingi duniani zimekuwa zikikabiliana na matumizi ya bidhaa feki ikiwemo vyakula na vipodozi ambavyo kwa kiasi kikubwa huathiri afya za watumiaji.
Huko Uingereza imeelezwa kuwa kinyesi cha...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Times have change and are still changing! But some issues just prove to be Time resistant!!!!!!! Stubborn...
Ariana Miyamoto
Ariana Miyamoto aliingia katika shindano la malkia wa urembo nchini Japan baada ya rafikiye mwenye mchanganyiko wa rangi kujiua.
Na alivumilia unyanyasaji baada ya kushinda taji...
Pengine mwenzangu wewe unaona hili ni sawa. Mimi naona hii ndo ishara ya kwanza tunaishi katika taifa la watu waongo na tumekubali kwamba uongo ni sawa tu.
Naomba niulize, hivi kuna ubaya gani...
Urembo wa Ngozi, nywele na Kucha
Namshukuru Mungu Muumba Mbingu na Nchi kwa kutuweka hai hata leo. Yeye tu apaswa kutukuzwa na kuabudiwa!
Katika mfululizo wa post zangu nitaeleza kuhusu urembo wa...
Mtu ukimwambia uwezo wetu wa kuigiza movie bado ni mdogo atakubishia mpaka kunakucha.
Kuna movie nyingi za kibongo bado hazikizi viwango, unakuta mtu ana act ni maskini lakini ukimwangalia...
Weekend njema wadau wa JF.
Mara nyingi nimekua nikiona vijana wenye rasta wakijihusisha na urembo kwa Wanawake.
Kusuka nywele, kupaka hina, kupaka rangi kucha, kusugua Miguu na mikono, kutinda...
Habari na karibu sana!!
Kwa habari ya ngozi yako,usoni na mwilini!.
Madoa madoa ya usoni,.chunusi na vipele visivyoupendeza ngozi,alama za viwembe,makovu na majipu!!. mikunjo mikunjo,muwasho...
Je unajua umuhimu wa perfume kwenye mahusiano? Mpenzi wako anapokuwa na perfume permanent inatengeneza harufu yake ya kipekee inayomtambulisha. Sasa ikiwa hivyo inaongeza intimacy!
1. Freedom to...
Habar za jion wadau, natengenexa vitu vya urembo mf heren ,kembe cheni na mikanda .changamoto niliyonayo sijui pa kuviuzia, naomben ushaur jaman na hat a jumla nauza vipo vya jumla na rejareja...
Kina dada wengi huamini kuwa mwonekano wao na thamani yao kiurembo ipo kwenye nywele zao. Hata hivyo utafiti wangu umebaini kuwa kuna utofauti mkubwa katika kuthaminisha nywele kati ya wale...
Hakuna haja ya utafiti ni jambo lililo wazi sasa kwamba biashara ya urembo kwa wanawake imepanuka sana kufuatia uhaba wa wanaume.
Wanawake wamekuwa wafuasi wazuri wa makorokocho kwenye miili yao...
Binafsi huwa navutiwa na vitu vingi sana.., infact kwa wale wanaofikiri kujifunika kichwa ili nywele zisionekane ni kuzuia uzuri wako usionekane mnajidanganya, tena hapo mi ndio huwa navutiwa...
Hi
Wadau naomba kuuliza vigezo vya uzuri au urembo ni vipi na watu wametumia misingi ,taswira na mtazamo upi kuweza kuoanisha uzuri wa mtu.
Facts with no leakage ndo hoja reasonable
reality
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.