Wadau,
Kwakweli nyinyi sijui mnaonaje?
Pale msichana anapovaa nguo za kiume na kuwa na muonekano wa kiume !
Mimi uwa nashangaa sana sijui ndo uzungu mwingi.
Jamani nakerwa na harufu ya madawa/mafuta anayotumia mpenzi wangu kwenye nywele zake ila ndo sina jinsi sasa maana nikimwambia anyoe nywele kichwa ndo tatizo tena.
Sasa wanaume wenzangu hili...
Kwa Muda sasa nimekuwa nikisoma hoja katika mijadala juu ya uvaaji usiofaa kama vile nguo fupi, nguo za kubana, mipasuo kupitiliza kuwa ni chanzo cha wanaume wengi kupungua kwa hamu ya tendo la...
Kwa tatizo lolote la Muonekano , Harufu, Usafi nk sasa ufumbuzi bora na salama umepatikana.
Karibu S&E BEAUTY SOLUTIONS upone kabisa Chunusi, Mba, Fangasi, Makovu, Vipele, Harufu mbaya mdomoni...
Habari ndugu wana JF,
Naombeni mwenye ujuzi au hata idea juu ya masuala ya modelling (uanamitindo ) anifungue macho na ikiwezekana connection zake maana napenda sana lakini sijui nitaanzia wapi...
JITENGENEZEE AJIRA HAPA.
Kampuni ya Edmark kutoka Malaysia inamakao makuu Masaki Dar es salaam Tanzania. Inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za afya (food supplement) ambazo ni asili na...
Kwakweli aliyeweka kigezo cha urembo au kuwa handsame ni urefu aliwakosea watu wengi sana duniani isingelikuwa kigezo hiki ni matumaini mtu kama Lulu Michael angekuwa miss TZ leo.
Mbunifu wa Mavazi Amina Plummer Akitoa Mada kwenye Semiana ya Ujasiriamali kwa Wanawake wa Zanzibar yenye Lengo la Kuwafundisha Mbinu Mbalimbali za Biashara pamoja na Matumizi Sahihi ya Vipodozi...
Wasalaam wandugu?
Nina matatizo ya scars na chunusi kwenye uso wangu. Kuna mtu aliwahi nishauri jinsi ya kutumia Bio Oil. Nimenunua lakini sielewi jinsi ya kuitumia.
Naimani humu kuna ambao...
Natamani kuweka nywele zangu ile style ya kujisokota na bleach kwa mbali anaipendelea sana Shamimu Mwasha wa 8020 blog nimechoka rasta halafu sipendi weavings.Nywele zangu ni natural halafu fupi...
These are some of supplements to use;
1. Soy Power has the following functions:
(A ). Prevents the decline of ovary's function
(B ). Reduces the loss of bone destiny; prevents osteoporosis...
mashine mpya kabisa kwa ajili ya kuweka stones/urembo kwenye nguo, viatu, vitambaa na pia kuandika maandishi kwwnye t.shirts na vitambaa kwa kutumia stones....
call 0714812375
Pata cheni ya mkeka kwa bei rahisi shilling elfu 35 tu.cheni hizi ndo habari ya mjini necklace, bracelet na heren kwa ajili ya event ,ofisin nk.nicheki kwa namba 0767626990 SMS or call. Free...
Queen Elizabeth kwa bei nafuu pamoja na lotion nyingine nyingi,mascara, rangi za kucha,perfumes,deodorants na spray za aina mbalimbali,shower gels,sabuni za kuogea n.k.
Karibuni, tuwasiliane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.