Kila mtu mtaani now anaimba NDI NDI NDI wimbo mzuri haswaa na mashabiki wamempokea Anakonda vizuri with her new hit.
Mbali na kuupenda wimbo we also love her new double undercut hair style...
Ni muda sijapost different look i loved from Instagram,leo nimezipata nyingi za kutosha hope you will like them and be inspired.
Lady in red ,she wore this cute lace dress with red pumps
Maloji...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Nywele zangu ni natural, nyeusi na kipipili lakini siyo ngumu sana.Sijawahi weka dawa sasa nahitaji kuweka dawa kwa mara ya kwanza, Je nitumie dawa gani...
Here is something I have wanted to share for a while but have not quite got the guts to say it out loud without turning a shade darker on the cheeks, so I would rather write it out; panties and...
A pocket square ni among the trends zinazobamba now days, men look even more dapper waki add a pocket square kwa their shirts. Click hapa kuona how MC Luvanda styles up with a pocket square...
Mkurugenzi wa lino International Agency LTD, Hashimu Lundenga akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani) katika ukumbi wa idara ya habari (MAELEZO), kuhusiana na msimu mpya wa mashindano...
Bidhaa za urembo wa uso na mwilini kwa wanawake na wanaume kuondoa chunus sugu, mafuta uson, madoa, mabaka mwilini, kuondoa makunyanzi usoni, kunuka miguu na fangas, perfume, lotion za mwilin...
Wataalamu wa jukwaa hili nawasalimu kwa moyo wote..yamkini inawezekana nisiwe pekeyangu ninaetatizwa na hili jambo ila naamini ndani ya hili jukwaa basi nitapata suluhisho kamili..
Nimekuwa...
Walotupia mikato tukaipenda kwenye tuzo hizi kubwa Africa Africa Magic Viewer’s Choice Awards.
This dress was the bomb best of them all.
Lovely dress
Ini Edo alisemwa sana na fans wake...
Huko Mexico wanawake wametoa kali kwa kuongeza urembo wa kucha kwa kubandika watoto wa nge.
Nge hao ni aina yenye sumu kali ambayo inaweza kuuwa binadamu kwa dakika 15 lakini sasa wanaweka nge...
Wakuu,
Naomba mnisaidie kama kuna yeyote anajua jinsi ya kusafisha hizi timberland boot,kama kuna dawa maalumu au sabuni,maana zinaanza kutofautiana rangi na vidoa doa ambavyo havifutiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.