Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
For the sisters, choose good style your hair braided here
1 Reactions
20 Replies
42K Views
Jamani hivi what so special kwa mafuta ya ojojo? Maana mjini hakukaliki ni ojojo, nyumbani hakukaliki ni ojojo. Hivi ni kweli haya mafuta yanasaidia kukuza nywele? Kuna mwenye ushahidi...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu nimeingia pale Cadet zinauzwa Tzs. 79,000 na 126,000 Viatu vizuri vyenye label yao hadi 250,000 wenye Uzoefu na Maduka haya hebu tuambieni Ubora nikinunua hiyo Cadet ya 126,000 nitadumu...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Hii tabia yenu imenikera sana, nimeivumilia sasa nimeona bora niwaambie tu mkae mkijua kuwa hatuipendi. Mlianza kuvaa suruali, tumekaa kimya, mmetaka usawa tumekaa kimya, mmekuja kwenye hili la...
6 Reactions
61 Replies
16K Views
Kutoboa sehemu mbalimbali za mwili ni moja ya harakati za kuongeza mvuto kwenye mwili wa binadamu. Sehemu mbalimbali hutobolewa na kupambwa kwa vito au mapambo ya shanga ili kuongeza mvuto...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Cheki mitindo ya watoto hawa ya kupendeza! Ukitaka kuangalia nyingi zaidi unaweza kwenda 16Lao na kuzipata.
5 Reactions
54 Replies
15K Views
Aug 21st, 2015 | by Rachel-Jean Okay gentlemen, listen up. Now, we know that there are dozens of different reasons why men dress the way they do, why they make certain sartorial choices, and why...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Hakuna shaka kwamba sasa kuna ongezeko kubwa la matangazo ya dawa za kurekebisha maumbile, hasa za kuongeza ukubwa wa makalio, maziwa ya mwanamke na nyonga. Mitandao ya kijamii...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Wakuu habari, Ukweli ni kwamba kutinda nyusi na kupaka wanja kwenye nyusi imekuwa ni urembo kwa wadada siku hizi, mimi pia napenda kutinda nyusi na kupaka wanja mwemyewe ila siwezi. Nimekuwa...
1 Reactions
5 Replies
11K Views
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Habari tena kwa mara nyingine Ladies....Nyie ndo mnaoongoza kuumia mioyo inabidi tu msaidiwe kujua how Men are...kuna vitu vingine mwanaume hawezi kusema lakini moyoni vimeshapigiwa mstari...
8 Reactions
22 Replies
8K Views
Mama huyu wa Australia Shelley Gifford anamremba binti yake Grace kila siku, angalia mitindo wa usukaji nywele haya. Sasa kazi kuu ya mama Shelley ni kusuka nywele za watoto, zaidi ya...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Lupita looks nice on the streets akielekea kwenye shows zake za Broadway anakotamba na ECLIPSE. she is rocking a blue floral dress with matching pumps love her hair yani yuko simple hadi raha...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Pela Tonye Okiemute kutoka Delta state nigeria,ni mtaalamu wa kuchubua ngozi(Bleaching Expert),alianza hii kazi miaka 9 iliyopita.Amejikita hasa kwenye kutakatisha ngozi na kuwa nyeupe na kuuza...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari yenu warembo na watanashati? Katika maisha yetu ya kila siku tunapitia mambo mbalimbali yanayosababisha ngozi kuharibika, kufubaa au kupata chunusi, mapele na madoa,lakini...
2 Reactions
23 Replies
26K Views
Je uliwahi kuona mama na mwanae wanaovaa machi?..kama siku ukaamua uvae sare na mtoto wako wa kike hapa kuna mother daughter outfits ambazo zitawafanya mpendeze na kuwa sare in style..
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Diamond na Zari wako kwa Tour ya Diamond iitwayo FromTandaletoWorldTour.We love what they wore huko Sweden ilikuwa ni mwendo wa all white. Pata nyingine nenda 16Lao Tanzania's Best Website...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Najua huku kuna wanamitindo na jukwaa linapitiwa sana na watu wengi. Hivyo basi naomba msaada wa rangi (colour of the year) maana ninashughuli hivi karibuni mchangiaji ukitupia na kapicha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
They're not called killer heels for nothing. Pinchy, uncomfortable and, occasionally, downright dangerous but high heels do make women look good. Researchers at the university of Portsmouth say...
5 Reactions
117 Replies
14K Views
Back
Top Bottom