Mambo vp wanaume wa Tanzania.
Jaman mie ndevu zangu za hapa kidevuni, sharubu Na kweny mashavu natumia MKASI Kuzinyoa..
Hofu ni kuwa threads nyingi humu JF zinazohusu vipele na ndevu naonaga...
Ule mchakato wa vazi la taifa ambao umegharimu mamilioni ya pesa za walipa kodi wanyonge wa nchi hii, mchakato ambao tangu mwanzo wake mimi sikuwahi kuona tija yake zaidi ya kuwapa watu ulaji wa...
Jamani mwezi ujao nafunga ndoa naomba msaada wapi ntapata hii suit na gauni zuri la harusi mi npo mikoani ntafute kwa namba hii 0766568609
Naomba suggestions zetu na more input jinsi ya...
Habari za jioni wana-Jamvi.
Wana-Jamvi, nina dada yangu yupo interested na suala zima la ujasiriamali, kaniuliza shughuli ya kufanya ambayo nikaona niwashirikishe Wanajamvi ili kwa mawazo na...
Habarini, wadau kama upo au unamfahamu mwalimu mzuri wa kupamba mabiharusi na kuchora zile piko nzuri za kizanzibari... nielekeze au nipe contact pm.
Natanguliza shukran
Habari zenu jamani
Kama kchwa cha habari kinavyojieleza naomba nipewe rangi nzuri (colour of the year) maana nna shughuli siku zijazo itapendeza zaidi kama ntapata na picha
NATANGULIZA SHUKRANI
NATAFUTA ISSEY MIYAKE ,SMART COLLECTION
BODY SPRAY AND PERFUMES.
Wakuu..
Salaam kwenu.
Wanajamvi Nazitafuta sana hizi vitu.
Kama unazo ama unajua naeza pata pls ni PM.
Aksante.
Hahahaha hivi kumbe bado vyuo vyetu vinatoa mamisi, leo ndo atapatikana miss mwenge university moshi, tukachague huyo miss. Ila naona atashinda magreth massawe.
Pia form6 karibuni mwenge mwecau...
Hawa wadada wa barber shops wanazingua sana!
Akikuuliza unafanya scrub ukamwambia hufanyi… Na hizo huduma zao nyingine (mimi sio muumini wa hizo huduma) ukazipangua zote , Sana sana ukataka...
Habari wanajamii. Kwa anayefahamu naomba anielekeze duka/mahali naweza kupata Neutrojena oil free moisturizer, maduka ya vipodozi mwenge nimekosa. Natanguliza shukran.
Jinsi tunavyopenda
Moja ya mtindo wa mwaka 2016 ni nyeupe pe
The stylist Swalha in her comfy ensemble ,denim on denim with red trainers
Bhoke is looking good in her ripped jeans
Zari the...
Jmn wapendwa habr, mm ni msichana nilikuwa mwembamba b4 ila siku izi nimeanza kunenepa cha ajabu tumbo linakuwa kubwa nguo hazinipendez yan naona kero, msaada nifanyaje ili niiepuke hii hali jmn
Kwa wale ambao ni wa karne kadhaa watakumbuka kuwa hapo kale kulikuwa na mtindo wa watu hasa vijana wa miaka hiyo kuchana suruali hasa maeneo ya magotini na badhi kwenye paja. Yani mtu alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.