‘Being on the cover of Vogue at 15 meant nothing to me,’ confesses Carmen Dell’Orefice. She doesn’t mean to sound ungrateful; it was more that she was baffled by it all.
‘I never really...
Poleni sana wanawake wote kwa kazi ngumu za kulea familia
Kumekuwepo na namna mbalimbali za ufungaji wa mikanda kwa hawa wanawake.Kuna wale wanaojibinya au funga karibu na matiti yao,wengine...
Si mimi tu na wewe, kuna baadhi ya watu pia wanataka jua kusuhu hili.
ni nguo gani humfanya mtu (mvulana au msichana) aonekane mrembo au mtanashati?
je? ni mitindo gani ya kuweka kichwani...
VIPODOZI VISIVYO SALAMA NA MADHARA YAKE
SEMINA HII IMEANDALIWA NA KULETWA KWAKO NA:
S&E HEALTH SOLUTIONS; WATAALAM NA WASHAURI WA AFYA, UREMBO NA VIPODOZI
ILALA BUNGONI, DAR ES SALAAM
0659 528 724...
Msaada wadau mi ni mpenz wa afro nywele ndefu ila kipilipili kinanikwamisha
Nywele ninazo ila tatizo hazisimami zinabaki kushindiliana tu
Nomben mnsaidie ili nywele isimame
Warembo wangu mnatumia jinsi gani ya kupaka rangi ya mdomo?
Zifuatazo ni mkusanyiko wa picha za tutorials za kumake up mdomo.
(Warembo wa drama za Kikorea hupaka kama hivo)
(Rahisi mno!)...
jamani huu uzi unatoa fursa kwa wale wote wanaopenda kufuga nywele,jinsi ya kuzitunza na kukabiliana na changamoto mbalimbali za nywele.
nawakaribisha wadau mtoe michango yenu juu ya mafuta gani...
Mabinti wa sasa wanatembea na Mabegi makubwa makubwa hadi Ofisini yamejaa chanuo, lipstic, wanja, kioo, kanga 1, pedi, poda, perfume, nk. Yaani mama wanatembea na mizigo tofauti na mama zetu na...
Mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Kigoma.
Siku ya kwanza nilipokwenda kwenda ku-report kazini mwaka 2011 kampuni moja ya Dar kabla ya kuletwa huku Tanga,nilichomekea suruali yangu nzuri tu nimeipiga...
Habari wanaJF,
Naomba tazameni hii Video, then toa maoni yako, juu ya kusemekana huku kwamba Sidiria zimekuwa na vitufe vinavyosababisha Kansa kisha waelimishe na wengine
Habari naomba kujulishwa rangi zifuatazo; Nyeusi, Nyeupe na Nyekundu. Zinauhisiano gani na secret society?
Tuje hapa nyumbani Diamond anaongoza kuvaa rangi hizi kwenye shoo nyingi ndani na nje...
Habari kina dada/mama,
Leo napenda niwakumbushe urembo ambao watu wengi huwa inatuwia vigumu sana kuutengeneza kwa mazoez.
Najua kuna baadhi yetu tunajua
Kua mazoez ya viungo yanakufanya uwe na...
Naombeni msaada jinsi ya kuzifanya nywele zangu ziwe nyeusi na zilizoshiba.
Nimekuwa mtu wa nywele nyepesi na zisizo na afya.
Kama unajua mafuta yeyote ya nywele yanayoweza kubadilisha nywele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.