Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Urembo wa kweli hutegemea nini? Watu fulani husema urembo hutegemea maoni ya mtazamaji. Isitoshe, maoni ya watu wengi kuhusu urembo yametofautiana sana katika utamaduni na enzi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
kwa tunaoishi maeneo ya baridi (Mbeya, Arusha, Iringa, Njombe nk) scarf mbali ya kukinga na baridi pia inakuongezea swaga. hapa kuna style mbalimbali za kufunga na kuvaa scarf kutoka ties.com.
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Jamani nahitaji kufuliwa blanket langu hapa Mwanza. Wapi nitapata huduma ya Dry-Cleaner hapa Mwanza.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huu ni usasa au ukichaa? Hivi unakwenda kutoa pesa yako kweli kununua nguo kama hiyo?
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni. Shida...
13 Reactions
191 Replies
24K Views
Drop your expertise, and help another brother get his style and grace together in this fashionable world we live in. DOs ..Vaa viatu visafi kila mara. Attention unayovipa viatu vyako inaelezea...
21 Reactions
360 Replies
36K Views
Msemo wa Kiswahili wa wahenga ‘ukitaka uzuri dhurika‘ unaweza kuwa na maana kubwa katika mkasa huu wa aina yake unaowapa kiashiria ‘chekundu’ warembo duniani kote wanaopenda kuvaa mawigi na kusuka...
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Kuna habari kuwa baada ya zoezi la waumish hewa na baadae simu hewa, zoezi linalofuata litakuwa ni kutambua watumishi wenye vyeti feki kufuatia zoez la kupiga marufuku nywele bandia almaarufu km...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kendall Jenner Selena Gomez Rihanna
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu Moja kwa moja kwenye swali linalonisumbua sana,naomba msaada kwani hizi nguo za kike na kiume siku hizi zinaletwa kutoka viwandani zikiwa zimechanika maana yake ni nini...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Haya Warembo, Walimbwende, Wanyange na Wapenda uzuri wote..... Sote tunajua umuhimu wa kucha kwa mwanamke. Hata upendeze vipi halafu vikucha vyako vimekatikakatika ovyo, vimebanduka rangi, au...
8 Reactions
81 Replies
31K Views
Natumai wanajamvi mu wazima, Naona kuna mtindo umeenea sana kwa dada zetu kuvaa magauni marefu,hii ni nzuri kwani badala ya kuvaa vimini,wamejitahidi kuvaa nguo ndefu.Sasa tatizo ni huu mtindo wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Haya wadau. Katika pita pita yangu mwisho wa mwaka, nikampata shemeji yenu (mchepuko) ni mzuri balaa, mtoto wa tajiri, elimu masters level.. Makazi ni kwa matajiri Capripoint Mwanza, baba...
9 Reactions
197 Replies
41K Views
Gazeti la Mtanzania jana limeripoti kuwa waumini wanawake wanaokwenda kufunga ndoa katika kanisa Katoliki Parokia ya Hananasif Kinondoni, jijini Dar es salaam wamepigwa marufuku kupaka rangi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiwa na nywele ndefu (kichwani) kwa muda mrefu tu hasa kutokana na nature ya kichwa changu. Sasa nywele mara ziwe ngumu mara zifubae rangi. Sasa kwa wale watalamu wa nywele ni...
1 Reactions
33 Replies
17K Views
Habari wakuu, Je vipi mshakunywa chai huko? Maana huku sukari inalingana na mishahara yetu. Baada ya salamu hiyo na utani kiasi sasa naomba nijikite kwenye kilichonileta. Ni kuhusu nguo hasa...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
BY DAYAN MASINDE 1. “Lady in a long vest” This lady loves her sleep, the long vest allows her to wear no panty thus giving her fresh air. She allows the beautiful area between her legs some space...
9 Reactions
497 Replies
32K Views
Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Join us on 02 Jul 2016 at Azura Beach Club. Learn all about natural hair..#naturalhairmovementtz
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom