Nisaidieni namna ya kurejesha rangi ya uso na mikono kwa haraka sana bila athari yoyote. Kwa kuna tofauti kubwa kati muonekano wa uso na mikono ukilinganisha na sehemu nyengine mwilini.
Mambo vipi waungwana,ni wapi wanachora tatoo zile za kufutika baada ya muda flani au kuzifuta mwenyewe pindi napohitaji kufanya hivyo hata kama ni kesho yake.
Jamani nina mpenzi wangu anasumbuliwa na chunusi (sio nyingi but kwa sababu anazitumbua zinaharibu reception kwa kuacha madoa meusi)
Nahitaji mafuta/sabuni au kitu cha kutumia kitakachomsaidia...
Ladies and Gentlemen;
Lets start this week by revealing the secrete of your fresh smell
Let everyone on this forum know among all the scents you've used, which ones do you like Most...
From Vera Wang, to Alexander McQueen, Carolina Herrera, to Tom Ford, Ralph Lauren and many more, they killed it all, and deserve a trophy.
Cc Polisi wa fashion Heaven Sent :)
Tusiongopeane bhana, yaani kabisa umevaa kisketi kifupiiiiii hadi tight ya ndani inaonekana kuwa ni nyeupe na ramani ya chupi ileeeeeeeeee kama haitoshi umevaa na ki blauzi chako mwenyewe...
Idadi ya vijana wanaojichora katika miili yao (tattoo) imeongezeka sana maeneo mengi hasa mijini. Lakini sio wote wanaofahamu kuwa kuna mambo ya msingi ya kujiuliza kabla ya kujichora tattoo...
Up the Career ladder, lipstick in hand.
WANT more respect, trust and affection from your co-workers?
Wearing makeup — but not gobs of Gaga-conspicuous makeup — apparently can help. It increases...
Habari zenu jamani....
Mwenzenu nikifua nguo yani hata hazikolei sabuni...hata nikifua lile povu la pili inakua bado haikolei vizur kiasi cha povu kutoka yani...
NB:- Huwa navaa nguo mara moja...
Shea butter ni nini? Ni mmea kutoka wa aina ya kipekee kutoka West Africa. Tunda la mmea wa Shea uwa linatwangwa na kuchemshwa hili kupata Shea butter.
Faida za kiafya na urembo
Shea butter...
Orliflame ni kampun ya kisweden iliazishwa mwaka 1967, iko zaid ya nchi 60 dunian, na uzoefu wa miaka 50.
Inajihusisha na bidhaa za asilia kuazia kichwan hadi miguuni, kwa wanawake, wanaume na...
Usipende kutumia make up zitakazo kualibu urembo wako badaye na acha ubaili kwa kununua make up fake kwa urembo wako utaumia
Na usipende kubandika kope bali tafuta mascara zitakazo kuza kope zako...
Wanajamvi,
Kwa yeyote anaefahamu namna ya kuweza kufuga afro, yenye nywele nyeusi, zilizonyooka na kusimama anisaidie please, mimi zangu huwa nikichana zinalala wakati mimi napenda zisimame na...
Mkorogo Jamaica unaanzia hata umri wa mtoto mchanga wa miezi sita, ndiyo kina dada wanawapaka mkorogo watoto wa miezi sita
mkorogo ni kama fasheni za nguo, huwezi kuvaa nguo za miaka 1990 ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.