Apo chacha!
Wanawake wanaotumia kope bandia wanahofiwa kuwa na hali ya hatari ya kupata upofu wa macho kutokana na gundi wanazotumiwa kutumia kope hizo kuripotiwa kuripotiwa kuwa na athari kwenye...
Habari za Jumapili wakuu,
Nimekuja kwenu nina tatizo moja, nina mchumba wangu ninampenda sana kwakweli ila ana tatizo la chunusi ambapo hili swala linamkosesha raha na hata Mimi pia. Natamani...
Salaam!
Natarajia kufunga ndoa mapema mwezi ujao. Naombeni ushauri ni pete gani nzuri kwa sasa zinazofaa kwa hiyo shughul ya harusi? Ushauri wenu wadau, picha zitanieleweza zaidi wana jf.karibuni
Nadhani sasa wasichana wa kibongo kuna mganga anawadanganya kuwa ukiwa na midomo ya namna hii wewe utaonekana mtamu, kitu kilichoperekea kila mschana kupiga picha akiwa amekunja midomo kama...
Unapoingia dukani , kabla hujafungua mkoba, wallet au kunyofoa hela mfukoni kununua jeans, ni vitu gani huwa unavizingatia sana kabla hujasema "yeah, hii jeans kweli kali muhudumu nipe hii"?
Mimi...
kuna vitu kama mwanamke naviangalia na naishia kusikitika.. hivi inakuaje hili wimbi la wanaume kwa kasi ya ajabu kujiremba? hivi mwanaume kujichubua ni ili awe mrembo au? wameenda mbali mpaka...
Nilipataga ajali nikaumia katika shavu langu la kushoto nikawa na kidonda baada ya kupona pakabaki kovu jeusi halitaki kuftika naomba kwa anaejua dawa anifahamishe tafadhari
Ndugu wanajamii amani iwe nanyi nyote!
Jiji la DAR ni zaidi ya vipodozi.Uwepo wangu ndani ya jiji hili nimejifunza mambo mengi sana lakini hili la joto nahitaji kujielimisha zaidi
Kuna watu...
Ni mara nyingi utasikia au kuona TFDA ikikamata vipodozi vyenye sumu na kisha kuviteketeza kwa madai ya kuwalinda watumiaji.
Kwa upande mwingine wauzaji na watumiaji aghalabu ulalamika kuwa...
Mimi mwenyewe sio hijabi (not yet) lakini huwa nawaza kuwa nikifika umri fulani ningependa kuanza kuvaa Hijab kwahiyo huwa nafanya research yangu ya Hijab fashion sehemu nyingiii, online na...
Kumetokea wimbi la wasichana na wamama kutoboa masikio zaidi ya ilivokuwa zamani.
Zamani tulijua kutoga masikio kuliendana na ule utaratibu kutoboa sehemu ya chini kabisa ya sikio tundu moja...
Naona siku hizi wadada wengi wanapenda kujifunga khanga, ili kuonyesha maumbo yao. Na wengi wanapovaa khanga ndani hawavai nguo yoyoye ili kuonyesha maumbile yao.
Hapa mtaani kwangu jamaa...
Kama mwanaume mtanashati kuna vitu vitatu ambavyo ni foundation ya kupendeza "
1. KIATU
2. MKANDA
3. SAA
Hi vitu mara nyingi kwa hulka za kiume ni mara chache kumkuta mwanaume ana mikanda zaidi...
Warembo wa humu ndani...especially wale wenye seasonal chunusi+lashes..+ wale wanaotaka kumaintain their skin colour kuna this lotion hapa....
1.inatibu vipele na zile chunusi ambazo sio sugu...
2016 has been the year of the crotch - well showing it off on the red carpet that is. Models Giulia Salemi and Dayane Mello were the latest girls to show it ALL during the Venice Film Festival...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.