Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kaimu afisa habari wa mrembo huyo, Charles William amelazimika kutoa taarifa sahihi kwa vyombo vya habari za mshindi huyo: Napenda kuujulisha Umma yafuatayo; 1. Miss Tanzania 2016/2017...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu Kwa wale waliokosa kuangalia shindano la kumpata mrembo jana kupitia channel zetu . Tafadhali pitieni hapo chini muone jinsi mambo yalivyokuwa mpaka tukampata mrembo wetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu wanabodi Ndugu zangu naomba mnisaidie, uso wangu unamafuta mengi sana so nilikua nauliza nifanyeje ili niweze kuyapunguza ama loshen au mafuta ama kitu chochote chenye uwezo wa kuweza...
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Wakuu, Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Msaada jaman nilikua naomba kujuzwa au kufahamishwa pahala ambapo nitaweza kujifunza urembaji utengenezaji wa kucha wakina dada na ata men's wanaopenda dat kind of fashion
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Je unataka kujua aina ya ngozi yako na matunzo kulingana na aina ya ngozi yako? Unahitaji kuelewa kuhusu bidhaa za vipodozi hatarishi? Haya na mengine mengi kuhusu Afya ya Ngozi yatapatikana...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Inavyosemekana wanawake wengi hutumia poda au talc, na nguvu ya matangazo yanayowalenga hasa wanene, kupaka maeneo ya siri. Huyu mama alikua akitumia poda hiyo badae kaugua kansa na kuwashitaki...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa anaefaham lotion nzuuri ya kijipakaa sehem zenye joto manake zingine daa zinaongeza joto na jasho jingi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Maji ya Uwaridi na Liwa: Liwa ina sifa ya kunyonya mafuta usoni na hivyo husaidia kutibu chunusi. Changanya Liwa na Maji ya Uwaridi kwa ratio ya 2:1. Paka usoni na uache hadi ikauke kabisa kisha...
1 Reactions
2 Replies
26K Views
Habari zenu wana JF nina ndugu yangu ana uso wa namna hiyo msaada maana uso wake una mafuta mengi black spot n vitobo vitobo dawa yake ni nini????
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Leo kampuni ya kutengeneza baby powder Johnson & Johnson wameamriwa walipe fine ya dollar million 55 kwa mwanamke aitwaye Gloria. Kesi hii inasemekana madai ya huyo mama ni kwamba talcum powder...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mambo, naomba tushare saloon wanaopamba vizuri ambazo hawapaki mamakeup mengi saloon gani nzuri na mtu anaepamba vizuri
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Watu wa kupenda fashion mara nyingi tunakuwa tuna sehemu zetu za kununua mavazi kama nguo, kofia, wallet, mabegi, miwani, saa za mkononi nk nk.. Pia vitu kama perfumes, jewelries nk... So...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Ukiwa unawaza kupiga pamba zako huwa unawaza kumechisha? Rangi gani unapenda kuvaa na zinazochukua asilimia kubwa ya nguo zako? Vitu nisivypenda kuvaa: -Suruali za kitambaa -Nguo zenye rangirangi...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Tatizo la Chunusi na Namna ya Kulikabili[emoji68][emoji68][emoji68][emoji68] [emoji654][emoji68][emoji68]Chunusi ni jambo la kawaida wakati wa balehe na zinatokea kwa sababu Mvulana au msichana...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Ukiacha raizon viatu, pekosi au bugaluu suruali, klimplin mashati na afro nywele miaka ile ya sabini, miaka ya tisini kuna mitindo ilivuma nikikumbuka huwa nacheka sana! Unakumbuka ...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Hello ,mambo vipi? Natumaini wote mko salama kabia, sasa leo nimekuja na mbinu ya kupunguza uzito kwa haraka ,note hii mbinu sio health ila tuiite crush plan!kwhyo usifanye mwaka mzima usije...
4 Reactions
59 Replies
21K Views
Kama kuna fashion ambayo imeniteka ni hii ya shift dresses. Naweza kukaa hata masaa sita naangalia shift dresses online. Nadhani ni aina ya style ambayo inaweza kumpendeza mtu yeyote yule...
4 Reactions
6 Replies
6K Views
KARIBU ORIFLAME KWA BIDHAA BORA KABISA ZA VIPODOZ KWA WANAUME NA WANAWAKE [emoji117]KUNA SCRUB NA TONER,kwa ajili ya kuondoa chunusi na sumu za cream zenye kemikali zilizoharibu na kuunguza ngozi...
2 Reactions
0 Replies
7K Views
Back
Top Bottom