Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari wadau Kuna suala linasikitisha sana kuona vijana wanapotea sana especially ma model wa kiume kua mashoga hivi hii inasababishwa na nini??
2 Reactions
5 Replies
3K Views
SABABU ZA KUFELI KWA MATIBABU YA CHUNUSI NA MAMBO YA KUFANYA ILI KUZITIBU KABISA Umewahi kutumia vipodozi kutibu chunusi au tatizo jingine na kukosa matokeo unayoyataka kisha ukabadilisha na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Umewahi kutumia vipodozi kutibu chunusi au tatizo jingine na kukosa matokeo unayoyataka kisha ukabadilisha na kuanza kutumia vya aina nyingine? Hujawahi kumuona mtu mwingine akifanya hivyo? Bila...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari. Naomba kujua uzuri wa haya mafuta nataka nianze kuyatumia. Ngozi yangu si kavu Sana wala si ya mafuta Sana. Natunguliza shukrani.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
The Sunny Art Award is an international art prize hosted by Sunny Art Centre, London. This fine art competition is a global platform giving an opportunity to any emerging and established artist to...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Hivi ni kwanini hawa jamaa ni ndugu, umasikini na uchafu yaani mazingira ya wanapoishi machafu, mavazi wanayovaa machafu na hata muonekano wa mwili ni mchafu tu kwanini iko hivi. Ina maana huwezi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna T-shirts zipo Hapa Tanzania zimeanza kuingia sokoni za Kupinga Kristo. Kanye Wst Msanii wa Marekani ameamua kuanzisha dini yake na kujiita YESU wa dini yake. Alichokifanya ni kubadili neno...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa wale ambao nywele zao zinakatika au unataka kuimarisha tu nywele. Chukua kiini cha yai changanya na asali. Osha nywele zako kisha paka hii mask, kaa nao kwa muda wa dakika 30 hadi 40 kisha...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Curls, Coils and Kinks made a few jaw - dropping appearances at the Show. Models of color ditched extensions and wore natural hair. Maria Borges from Angola repped her home Country Angola's...
10 Reactions
138 Replies
18K Views
Habari za mihangaiko ya siku nzima wakuu Hoja yangu haina umuhimu Sana lakini nahitaji msaada. Kwanza napenda kuwashukuru sana kwa kupoteza muda wenu na kuchangia mada yangu. Leo ndio siku ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mambo zenu JF, Napenda kuwashukuru members wote walionitia moyo katika kipindi kigumu nilichokua napitia. Nawashukuru kwa michango yenu ya kimawazo, sina cha kuwalipa nawaombea tu kwa Mungu...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Unakuta dada msafi na ananukia. Akitoa simu unaweza chefukwa. Case ya kulinda simu chafuu, uchafu wa mafuta na jasho umeweka weusi. Hii kitu inawapotezea sana mvuto ila nimeona fursa. Nitaanzisha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
ni wapi utakua kesho kuanza wikend yako kusheherekea uhuru wa nchi yako je hujui wapi pa kuwa kesho??niulize ni katika jengo la LAPF ambapo utabadiri taswira ya utaftaji wako wa pesa jiunge na...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Habarini wandugu, Naomba wataalamu wa mambo ya mavazi wanipe elimu kuhusu hili jambo katika uvaaji wa suti zikiwa na label mikononi. Sijajua ni lipi sahihi kati ya haya; Unaponunua suti hizi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mrembo Eduarda Ferais ( 19 ) amesema ana vutiwa sana na makalio ya mama ake mzazi na anatamani siku moja na yeye makalio yake yangekuwa na muonekano kama makalio ya mama...
1 Reactions
42 Replies
17K Views
halafu wengi huwa wanajipenda sana. hata kama masikini muda mwingi huwa wasafi na warembo.
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Waungwana mikono yangu imekuwa ikiota sugu na kuwa migumu yaani imekomaa siyo kawaida wakati nafanya kazi za kawaida tu ambazo haziwezi kupelekea mikono yangu kuwa hivi. Naombeni ushauri nitumie...
0 Reactions
32 Replies
16K Views
Suti ni vazi la heshima sana na linamfanya mtu kuonekana maridadi sana lakini ukikosea kuvaa suti waweza kuwa kituko. A traditional suit ya mwanaume inajumuisha shati, koti, tai na suruali...
28 Reactions
63 Replies
18K Views
Maana nimeshawasikia watu kadhaa wakisema daah, yule binti ana sepu nzuri ila tatizo ndio ivo tena ana sura ya baba!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom