Swagga nzuri kwa warembo
Unawevalia na jeans.ama sket ama short
Na ukapendeza vizuri sana
Wahi utoe oda yak kwa whaspa n 0656436662 ama kupiga pia karibni
Instagram
Starson_85_jr
Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha...
Wadau naomba melezo kidogo maana nashindwa kuelewa. Hii ni ile style miguu inaangaliana kwenye vidole gumba na visigino vinaachana mbali. Binafsi naona wanatembea vibaya sana na haina mvuto...
Wadau mliopo Dar naomba Masada Ni wapi naweza kupata duka linalouza Jeans za kiume za ukweli maana Napata shida Sana ninapotafuta Jeans..hizi za mtumba Ni Za kubahatisha Sana. Nimepita maduka Kama...
This is where it all goes down.
Where that Ngabu body is sculpted.
LA Fitness baby
It goes down in the gym.....
Goals baby....goals!
Angled leg press....massive weights!
Guns...
Wana body
Nisiwachoshe kivile, Habari zenu ? Mazee kuna hili swala mimi kama silielewi flan tukiwa tunaingia makazin asubuhi wadada wote wanapendeza mnoooo, na tukiwa tunatoka pia wanashine...
Poleni n majukumu,
Hivi wanawake wenzangu(baadhi) tunaopendelea kuvaa bikini,wenzangu huwa mnavaaje au mnamudu vp,maana mwenzenu nazipenda sana ila nikivaa basi kila saa naichomoa maana inakua...
wakuu
Nadhani sasa imefika pabaya au ni ushamba wangu wakuu? yaani saruwali za wanaume wanne kati ya kumi lazima ziwe zimebana miguu na zaidi hawavai soksi miguuni ni ushamba wangu au kisarawili...
(EAST AFRICA)
Martin Kadinda (Tanzania)
Sheria Ngowi (Tanzania)
Bobbins & Seif(Uganda)
Moise Turahirwa(Rwanda)
Makeke International (Tanzania)
Jamila Vera Swai (Tanzania)
Mke wangu nampa thamani ya juu kama gari ya Hummer na ningependa apendeze nje ndani. Sasa sipendi avae hizi chupi za Mwenge za buku tano, tano na ninataka nimu upgrade kwa kumnunulia chupi za...
Haya ni mavazi wanayovaa wanyarwanda kwenye harusi bila kujali kabila la mtu, harusi zote za wanyarwanda huvaa hivyo. Napenda sana mavazi yao.
Haya ni mavazi ya waganda kwenye harusi bila...
Habari zenu wapendwa.... nina tatizo la nywele zangu yaan nyepesi sana halafu kavu plus zinachomoka kila ninapochana kiasi cha kusababisha kukosa uwiano... nyuma zimekatika mpaka zinatia...
Wakuu habari za mchana nimeona mahali kuwa miss tanzania mpya ana miaka 18 na wakati huo huo tayari ana degree moja hii ni kuwa alianza form one akiwa na miaka 9 mpaka kuja kugraduate ukweli ni upi?
Kama u mrembo,unapenda mitindo hii inakuhusu
Pin It
Jane Michael Ekanem a fashion entrepreneur, fashion stylist and wedding stylist show us this fashion essential (white shirt) is needed in your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.