Siku hizi nashangaa wanawake wanaweka makatani kichwani,mikope ya plastiki,kujichora marangi midomoni,mikucha ya plastiki mirefu,halafu anapiga picha kabinua kibinda nkoi,limdomo kalitanguliza...
Pamoja na kupendeza kwote vazi la suti au koti la suti nimekuwa silioni kama ni muhimu kwa wakati wote hadi siku nitakapoona hivyo.
Angalau mkulima mimi pia nianze kutoka kivingine ninapoanza...
Tabia hii imekuwa ikifanya chupi kuwa na kiharufu flan hivi kibaya kutokana na kukosa Jua vizuri na kupelekea mvaaji kuonekana ananuka. Jamani tuanike nguo za ndani nje tu na kama unahofia basi...
Habari ndugu zangu,
Nipo kwenye ukarabati wa salon yangu ya kiume. Bado najitahidi kupata front view(design ya mbele) ndani kwenye vioo vya kujitazama kipindi mteja ananyolewa na interiol colour...
-They're attractive and stylish for both men and women. (They add pleasure too...)
-The piercing don't hurt much if you do it in the midline. (just a little pinch)
-If you plan to remove the...
Habari, Mimi nina tatizo, uso wangu umekua na rashes na makovu meusi ila sijui tatizo ni nini, nilishauriwa kutumia carotone ila nmeng'aa tu Ila makovu yenye weusi bado yapo
Msaada wenu wa mafuta...
Na weza kuingia dukani nika baki na ng'aa ng'aa macho nashindwa ni nunue ipi hapa?? Mwisho wa siku na ambulia patupu.
Labda niulize ni lotion/ mafuta gani ya uso?
Walau uso ungae vizuri naku...
Naombeni msaada wa steaming nzuri ya kupaka kwenye nywele na kuacha bila kuosha sitaki hizi za kuosha, anaejua steaming ya kuacha kwenye nywele naombeni jina lake ninunue.
Asanteni
Kinadada wengi wamekua wepesi kudanganyika na hata kupuuza rangi zao za asili, kitu ambacho kimefanya wengi ku bleach ngozi zao na kuishia kuziaribu kabisa
Embu tazama thamani na uzuri...
Natarajia kufunga ndoa siku si nyngi.napenda nivae suti ya blue, ila mie kipato changu ni cha chini kidogo kwa maana hiyo sitaweza nunua suti ya laki 5. Nataka nishone iwe simple, smart and...
*DESING AND PATTERN MAKING WORKSHOP TRAINING* POP UP FASHION inatoa mafunzo ya kudizaini nguo mbali mbali pia inatoa mafunzo ya upimaji wa nguo,kujua aina mbali mbali za...
Good morning.....
Ngozi yenye chunusi na mafuta mengi
Chukua asali kijiko kimoja
Mdalasini (cinnamon) kijiko kimoja pia
Vichanganyikane kwa pamoja,
Osha uso, upake usoni huo mchanganyiko...
Kwa ufungaji viremba almaarufu kama Gele, Karibuni sana kwa anayetaka kujifunza, natoa mafunzo hayo, na anayetaka kufungwa popote ndani ya Dar nitakufuata kukufunga.
Kufunga Gele Kitaambaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.