Achana na vichubuzi..tumia nanasi kung'arisha uso
Pineapple is one of the sweetest fruit and is one of my favorite without forgetting grapefruits and passion. Pineapple has got enzymes that...
Habari zenu wadau.
Naomba niulize hili swali ni kwanini ma - designer wengi ni mashoga au kama si mashoga basi wamekaa kiulainilaini, kiasi kwamba huwatofautishi na hicho wanachotuhumiwa nacho...
Nataka cream ya kufuta kovu upande wa shavu niliungua ukubwa kama sh.100 duara sehemu ile ilipona na kuinuka so i feel badly nilienda hospitari wakachuna ngozi ya juu lakin hakusaidia ilipona na...
Napenda kuwatakieni uhitimisho wa wiki mzuri, kwa wengi wanaita mapumziko ya wiki [furai dai] haa haaaa.
Ila turudi sasa katika mada yenyewe, mada yenyewe ni kuhusu nywele za bandia kama wingi na...
What makes people attractive? And sometimes really, really attractive? Is it make ups? Food? Gym?
Hotness is devilishly hard to generalize. A person's mood, cultural upbringing, and ability to...
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana...
Vazi hili naona limeanza kuwa maarufu hapa Tanzania kwa wanawake wa rika zote naliona katika misiba mbalimbali, katika sherehe mbalimbali, n.k na wengine wanalipa heshima na wengine wanalivunjia...
Katika pitapita yangu sijawahi kuona Mtu kanunua nguo yake ya ndani a.k.a Chupi halafu isimtoshe awe mnene au mwembamba. Hivyo basi nilitaka tu kujua ni UTAALAM gani hawa Wabunifu na Watengeneza...
Hi guys,
Kwanini wajameni imekuwa hivi, vazi la sirini kuwa hadharani kiasi hiki si za kike wala za kiume kwanini lakini. Madukani ziko hadharani, wamachinga wanatembea nazo mitaani, kwenye...
Natumai mko poa.
Jamani magagulo yamepotelea wapi .Nadhani wale wa umri wangu wanalikumbuka hili vazi la siri na la heshima sana enzi hizo.
Huwezi kumkuta mdada au mmama hajalivaa hilo...
Habari waungwana, naomba mnisaidie kama kuna mtu anayefahamu chuo chochote cha urembo hususani nywele!
NB: UKINIPA MAWASILIANO YAO ITANISAIDIA ZAIDI, KIPAUMBELE CHANGU NIPATE CHUO KUTOKA ARUSHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.