Hivi kwa nini korodani zinawasha na kunuka?
We zioshe utakavyoziosha, zipigie perfume uwezavyo but still lazima kaharufu katoke.
#Wataalamu njooni mnipe Darasa.
Urembo huu ni moja kati ya mitindo yenye kupendeza na kuvutia.
Ni mtindo maarufu sana kwenye maeneo ya pwani hususani ni Tanga, Unguja, Pemba Dar es salaam na Mombasa, na hata kwenye maeneo...
Habari za mchana kwenu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji dye kwa ajili ya kuweka kwenye nguo nyeusi zilizopoteza rangi ili zirejee katika rangi yake ya mwanzo.
Sifahamu kwa hapa...
Hereni ni pambo linalotumiwa na wanawake tangu enzi na enzi za mababu zetu lakini kwa sasa hii imekuwa tufauti sana kwani hata wanaume siku hizi wanavaa.
Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa hereni...
Sare ni vazi au muonekano maalum katika kundi au taasisi maalum yenye mlengo mmoja!
Miongoni mwa masharti ya kuvaa sare ni:
Unatakiwa kuvaa sare wakati tu unatekeleza majukumu husika na si...
Wakuu...
Katika kipindi cha makuzi yangu kuanzia naanza kujitambua mpaka kipindi cha miaka ya kuanza kubalehe hivi nilikuwa na midomo (lips) ambazo hazikua na weusi hata kidogo. Hazikua zimeokoza...
Nmekuwa nikikwazika na kasi ya uotaji wa nywele kichwani kwangu. Binafsi napenda sana kupiga kipara.naondoa nywele sote kabisa.
Shida ni kuwa baada ya siku tatu nakuta tayar zimeshaanza kuota...
Habari wakuu?
Nina changamoto ya nywele zangu kila zinapokuwa na kufikisha urefu wa karibia sentimita 2 hivi huwa zinabadilika rangi na kuanza kuwa nyekundu au pengine ule weusi wa nywele...
Mambo,
Tukumbushane vitu ambavyo mwanamke unatakiwa usikose kwenye kabati lako la nguo au dressing table yako
Mimi naanza na black dress, mtoto wa kike jitahidi usikose nguo nyeusi hii itakupa...
Naomba kupata sababu kama kumi kwanini Wanawake/wasichana wengi wa kiafrika wanapenda kuvaa mawigi siku hizi?
Sababu moja tu kubwa niliyoisikia kutoka kwa wanawake ni kwamba wanadai wakivaa...
Wanawake wengi wamebaini kuwa mwanaume unaweza kumkuta anang'aa uso, na sehemu zingine ila makalio yao yamepauka na wengine yanatoka ukurutu kwa sababu ni nadra sana kupaka makalio yao mafuta...
Katika race zote duniani nafikiri watu weusi ndiyo wanaongoza kuvaa kwa fasheni na kujipamba. Mambo ya mikufu mikubwa na ghali, pete nyingi, bangili na hereni ni kawaida kwao, hiki si kwa manaume...
Poleni na swaumu, kuna wale wenye nywele za brown hivo ujikuta wakipaka super black...sasa kuliko kupaka super black kwenye nywele kwa lengo la kufanya nywele ziwe nyeusi
Ni heri uwe unaziosha...
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani...
Wakuu salamu, nimendika sentensi hiyo hapo juu ambayo ni ushauri ulitolewa kwa mtu anayetaka kupunguza uzito, nimepitia thread moja humu mdau akieleza jinsi vyakula vya wali na ugali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.