Mie nami ndio kwanza nimejiunga katika Jf kwa mara ya kwanza, napenda kuwa na narafiki kutoka kona zote na wa jinsia zote, tubadilishane mawazo.[emoji124]
wana jamii forum mie ni mgeni humu naomba mnikaribishe
na bila shaka naamini ntafaidika na mengi ya elimu burudani na makala nyingi za humu
natanguliza shukrani zangu
Habari wana JF, siyo mgeni sana, ila kipindi cha nyuma kama nimepuuzia sana kutumia mtandao huu. sasa nimerudi kwa kishindo, nipokeeni wana Jf wenzangu.
Napenda kujitambulisha kwa kila mwana Jf kuwa sasa utapata huduma ya maombezi na ushauri kupitia Pm, huduma hii itakuwa bure hivyo kama unashida ya kiroho na kimwili usisite kuja pm ili upate...
Waungwana wa jamii forum mie ni mgeni humu naomba mnikaribishe
na bila shaka ntafaidika na mengi ya elimu burudani na makala nyingi za
nyie wakongwe
natanguliza shukrani zangu na upendo kwenu...