kutoka Nairobi Kenya,balozi apa ametua kwenye JF,nimetembea sana Africa mashariki,kwa kweli tz si nchi tu bali jamii ya watu wazuri zaidi,inshallah nitarejea kusaka mshikaji.double salute
Hi everyone,
My name is Mwlsamwel, and I'm an American who lived in Tanzania from 2014-2016. I wanted to introduce myself here, because people in this thread were asking me information about my...
"They are hearding us like cattle.Where shall i go now tonight?Where shall i be this time tomorrow?
Wabobezi wa kutunga na kuleta maana je tunaweza kujikumbusha maudhui kama hayo kwa zama hizi?
Wakuu mm ni mgeni humu ndani na naishi nchini Rwanda na nimependa jamii forum maana kuna mambo mengi yanayohusiana na maisha ya kila siku ya binadamu.
Mm munyambo naomba mnipokee kwa mikono...