Nimekuwa nikipitia sana mtandao huu wa JF lakini leo rasmi nimeamua kujiunga nawaomba mnipokee na tushirikiane kwani sisi sote ni familia moja...Thanx!.
member wa jf naomba kujitambulisha kuwa mimi ni mtu mzima ninayehitaji elimu ya uzeeni.naomba kupitia jamvi hili nipate elimu kabla mola hajaniita mbele ya haki.
ELIMU HAINA MWISHO.
Habari ya uzima sana JF,
Nami nimeweza kujiunga na JF maana siku nyingi sana najaribu inanitoa ushamba na hamu yangu kubwa ya kujiunga ni kuwa nashiriki midahalo inayotolewa humu kwa wema pia...
Habari wana JF,baada ya kipindi kirefu kuwa naperuzi nimeamua na mimi nifungue account niwe mchangiaji.Naomba mnipokee pia mwenye avatar nzuri tafadhali anitumie niweke hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.