Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Fanya kitu sahihi na sio kitu rahisi
1 Reactions
3 Replies
571 Views
Mimi ni mgeni katika jukwa hill ila nmkuwa nkpata info mbalimbali za Kim aisha kupitia humu naombeni ushirikiano wenu
0 Reactions
9 Replies
972 Views
Mimi mgeni hapa nmejiunga leo huu mtandao, tuchati kwa pamoja tushee idea Thanks
1 Reactions
4 Replies
710 Views
Hodii
0 Reactions
3 Replies
783 Views
Naombeni mnipokee na nahitaji ushrikiano wenu wa kimawazo..Asanten ndugu zangu
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu. Napiga hodi kwenye jukwaa hili , home of great thinkers,where we dare to talk openly. Nimesoma terms na conditions vema kabisa.naomba mnipe ushirikiano wenyeji. Asanteni
0 Reactions
14 Replies
917 Views
Member mpya mie nahitaji ushirikiano wenu as well nataka kufahamu sheria na kanuniiii I mean vitu gani haswa havitakiwi humu
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni humu,,mnipokee ndugu yenu.Amani Dar es salaam, nyumbani Tanzania.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za mida. Mimi mgeni humu, hodii!...
1 Reactions
4 Replies
612 Views
habar wana jamvi Mimi ni mgen kidgo lakin kama nilivyosema ni mgen mwenye manufaa... manufaa yangu ni haya kama unamiliki kifaa chochote kinachotumia oil (lubricant ) nitafute kwa ushauri wa...
0 Reactions
6 Replies
983 Views
aka tin monster
1 Reactions
6 Replies
929 Views
Wadau mabibi na mabwana naombeni mnipokee kwa mikono miwili[emoji1431]
1 Reactions
3 Replies
703 Views
Hodiiiiiiiiii
1 Reactions
15 Replies
941 Views
Habari ndugu zangu, mm mgeni humu, ni vitu gani humu vinafanya nifurahi bila kuwa banned, asante sana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini Wanajamvi! Ugeni wenu huu naomba mnipokee. Baada ya miaka mingi ya kuwa 'msomaji' pekee sasa nimeamua na mie kuwa msomaji+mchangiaji katika 'forum' hii pendwa. Naomba ushirikiano wenu...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwanza natanguliza salamu kwa wahenga wa JF humu ndani. Mimi ni mjasiriamali katika ICT, na ninapenda topic yoyote inayohusiana na Kutengeneza Apps, Website, Graphics, MotionGraphics na systems za...
2 Reactions
4 Replies
886 Views
Naitwa msafiri kapipi ni member mpya napenda kujifunza na kushare mawazo, naomba ushirikiano
0 Reactions
12 Replies
961 Views
Mi mgeni humu nikaribisheni
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Naomba kukaribishwa
0 Reactions
5 Replies
811 Views
Back
Top Bottom