Habari wandugu.
Natumai mko vyema kabisa. Well, mwanafamilia mwenzenu hapa naomba kukaribishwa wandugu.
Najiskia faraja sana kuwa mmoja wa wanafamilia wa JamiiForums.
Thanks a lot.
Habari za muda huu wote wapenzi wa mtandao huu
Nimejiunga na huu mtandao mnamo Dec 2, 2017. Nimefurahishwa sana na namna mijadala inavyoendeshwa humu na nimehasika sana.
Tangu nijiunge nilikuwa...
Niwashukuru jf member wote, meamua tu nijitamhulishe japo ni kitambo toka nijiunge, ila nimeamua niwe active saiv na hasa nishiriki kuzika kiki na upotofu wa vijana wasiojielewa
Nakiri namkubali...
Habari ndugu zangu,
Mwenzenu ndio hivyo nimejiunga kundini, napenda mada zinazochangiwa hapa JF ndio maana nikaamua kujiunga leo, natumaini kupata kile nilichofuata na niko tayari kutoa...