Habari za majukumu wakuu.
Napiga hodi kwenye jukwaa hili , home of great thinkers,where we dare to talk openly.
Nimesoma terms na conditions vema kabisa.naomba mnipe ushirikiano wenyeji.
Asanteni
habar wana jamvi Mimi ni mgen kidgo lakin kama nilivyosema ni mgen mwenye manufaa... manufaa yangu ni haya kama unamiliki kifaa chochote kinachotumia oil (lubricant ) nitafute kwa ushauri wa...
Habarini Wanajamvi!
Ugeni wenu huu naomba mnipokee. Baada ya miaka mingi ya kuwa 'msomaji' pekee sasa nimeamua na mie kuwa msomaji+mchangiaji katika 'forum' hii pendwa. Naomba ushirikiano wenu...
Kwanza natanguliza salamu kwa wahenga wa JF humu ndani.
Mimi ni mjasiriamali katika ICT, na ninapenda topic yoyote inayohusiana na Kutengeneza Apps, Website, Graphics, MotionGraphics na systems za...